Javis Elias Balilemwa
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 489
- 67
Hamkosi sababu
Hakuna aliyekufa mkuuuu te teh... Sema yanga katolewa kwa pernaty...
Hakuna aliyekufa mkuuuu te teh... Sema yanga katolewa kwa pernaty...
Hui si uanamichezo, sababu ya msingi kumtusi ni nini??
Wow! Thank you. ... at least nimepata afueni.pole sana . shushia na ice cream
Hahahaaaaa,mchangani tuwaachie mikia waliobobea maana kule hawana mpinzani.Kwa staili Hii inabidi tufanye kama LOWASSA TUHAMIE MCHANGANI.
PENALTY SIYO BAHATI NI UJUZI . TEAM ZENYE MAKOCHA WAZURI HUWA WANAFUNDISHA UPIGAJI NA UDAKAJI WA PENALTY. wenzenu wanapata nyie mnasema bahati? kapige umefumba macho sasa. YANGA inacheza sana KWENYE MAGAZETI.
Hahahaaaaa,mchangani tuwaachie mikia waliobobea maana kule hawana mpinzani.
safi sana AZAM Fc kwa kutoa hao yebo yebo yenye usajili wa 500M
Yanga 4-5 Simba.
Simba won on penalty shoot outs
Hongereni Simba
PENALTY SIYO BAHATI NI UJUZI . TEAM ZENYE MAKOCHA WAZURI HUWA WANAFUNDISHA UPIGAJI NA UDAKAJI WA PENALTY. wenzenu wanapata nyie mnasema bahati? kapige umefumba macho sasa. YANGA inacheza sana KWENYE MAGAZETI.
Acha tujipange Ngao ya Hisani. Ila Donald Ngoma aache kucheza kibishoo. Leo hapa uwanjani tunatoka kwa aibu sana. Mikia ilikuwa inasubiri tufungwe waanze. Fulana nyekundu zimejaa. Baadhi ya mashabiki wa Yanga wamevaa za azam na Nyekundu ili kuficha aibu. Njano zilizojaa uwanjani zimepungua kwa kasi sana.
Kuteleza sio kuanguka Yanga Chama langu hata ikifungwa magoli mia. Nawa advice viongozi, benchi la ufundi na Mashabiki wenzangu wote tuchukulie kufungwa kwa leo as a challenge ili iwe chachu ya kufanya vizuri huko mbeleni.
Wasalaam.