Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

Vyura wa bonde la jangwani wamekaa kimya baada ya gari kubwa la Azam kupita na kuacha kishindo kikubwa mno...
Gazeti la Mwananchi la leo likaandika, 'wachovu Wamekatwa'....
 
Vyura wa bonde la jangwani wamekaa kimya baada ya gari kubwa la Azam kupita na kuacha kishindo kikubwa mno...
Gazeti la Mwananchi la leo likaandika, 'wachovu Wamekatwa'....

Nimekubali kale ka usemi kwamba 'Paka (Yanga) akiondoka panya (Simba) hutawala'.

Huyu grafani11 tangu Kagame Cup ianze alikuwa kimya. Baada ya Yanga kutolewa Jumatano 29/07/2015 jamaa karudi kwa nguvu sana ili kuthitisha kuwa Paka akiondoka panya hutawala.

Kagame Cup ilianza Julai 18, 2015 amekuja kuposti Julai 30 baada ya Yanga kutolewa, kuanzia hapo ameposti mara 13; mara moja katika jukwaa la Jokes & Gossips na mara moja kuhusiana na Manchester United, posts 11 zilizosalia ni za kuikandia Yanga; ushahidi huu hapa: https://www.jamiiforums.com/search.php?searchid=36924064

Nawapongeza wakuu Katavi, Masuke, sembo, Freeland na mikia wengine ambao tumeendelea kuwa pamoja katika michuano hii ya Kombe la Kagame tangu ianze.
 
FT: Khartoum National SC 1-3 Gar Mahia.

Gor Mahia wamefuzu fainali huku wakimsubiri mshindi kati ya KCCA na Azam FC.
 
Asante Makoye Matale gete pamoja na Yanga kukatwa unaendelea kutupa updates .Huo ndiyo uanamichezo endelea kutupa kinachoendelea uwanjani
 
Asante Makoye Matale gete pamoja na Yanga kukatwa unaendelea kutupa updates .Huo ndiyo uanamichezo endelea kutupa kinachoendelea uwanjani

Mkuu, mimi ni mpenzi wa soka. Nitaendelea kutiririka hadi fainali licha ya timu yangu kuwa Lowassalized.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…