miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
waambie wasiwe na haraka .. mamabo mazuri hayataki harakahahahahhha...ile ndoa yetu na miss chagga bado iko pale pale....Wakati ukifika wadau wangu lazima mjulishwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
waambie wasiwe na haraka .. mamabo mazuri hayataki harakahahahahhha...ile ndoa yetu na miss chagga bado iko pale pale....Wakati ukifika wadau wangu lazima mjulishwe
hivi nyie kila siku ni wa kupigwa tano yu?Ndiyo, anajiandaa kufanya maamuzi magumu maana natural justice haikutendeka! (Adapted from EL, 2015).
waambie wasiwe na haraka .. mamabo mazuri hayataki haraka
sawa mkuuu...Unanidai mchango mkuu. Mambo yakiwa tayari nijulishe.
Vyura wa bonde la jangwani wamekaa kimya baada ya gari kubwa la Azam kupita na kuacha kishindo kikubwa mno...
Gazeti la Mwananchi la leo likaandika, 'wachovu Wamekatwa'....
Asante Makoye Matale gete pamoja na Yanga kukatwa unaendelea kutupa updates .Huo ndiyo uanamichezo endelea kutupa kinachoendelea uwanjani