Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

Watani wameteleza tu inshaalah watafanya vyema mechi zijazo
 
Baada ya kuondoa timu za mchangani kombe lina ushindani mkubwa. Hizi ni group qualifications games tu.
Yanga itavuka kwenye kundi and from there let us see what happens.
Kelele za wa mchangani zisitupe shida wakati huu.
 
!
!
asante gor mahia, sasa nikashushie na kili barrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrd
 
Team ya Taifa Mbovu
Hivi mnategemea hali ya Club zake ipoje.

Acha tujifariji kwamba tulicheza vizuri ila bahari haikuwa kwetu,maana ndio mwimbo wa Taifa wa vibonde sie.
 
Du, poleni sana. Viroba vya pesa mlielekeza dodoma na haya ndio matokeo, watacatch akili zikitulia
 
Team ya Taifa Mbovu
Hivi mnategemea hali ya Club zake ipoje.

Acha tujifariji kwamba tulicheza vizuri ila bahari haikuwa kwetu,maana ndio mwimbo wa Taifa wa vibonde sie.

Kwa wafuatiliaji wa mpira wanajua nini kilichokuwa kinaendelea pale uwanjani. Kumbuka gor mahia kwao ligi bado inaendelea na first eleven yake sio mpya. First eleven ya yanga naweza sema ni mpya coz ukiangalia kikosi cha leo kuna watu kama ngoma, zutah, kaseke na wageni wengineo ndio gemu yao ya kwanza kiushindani wakiwa na yanga, wanahitaji connection na kuelewana kati yao na wale waliokuwepo msimu uliopita.

Ukicheki kwa gemu ya leo timu ya wananchi haikuwa mbaya kabisa vijana wamejitahidi na wameonyesha mchezo mzuri japo kuna makosa ya hapa na pale. Wakiendelea hivi katika gemu zijazo na wakaelewana vizuri, Yanga itakuwa moto sana. Leo tu wamecheza pungufu lakini Gor Mahia shughuli pevu waliiona.
 
Nakumbuka kuna wakati Yanga ilipigwa 3-0 na APR mchozo wa ufunguzi mashindano yalifanyikia Kampala Uganda.
Lakini Yanga alitinga fainali na akachukua kombe zidi ya Sports club villa.
 
Kwa wafuatiliaji wa mpira wanajua nini kilichokuwa kinaendelea pale uwanjani. Kumbuka gor mahia kwao ligi bado inaendelea na first eleven yake sio mpya. First eleven ya yanga naweza sema ni mpya coz ukiangalia kikosi cha leo kuna watu kama ngoma, zutah, kaseke na wageni wengineo ndio gemu yao ya kwanza kiushindani wakiwa na yanga, wanahitaji connection na kuelewana kati yao na wale waliokuwepo msimu uliopita.

Ukicheki kwa gemu ya leo timu ya wananchi haikuwa mbaya kabisa vijana wamejitahidi na wameonyesha mchezo mzuri japo kuna makosa ya hapa na pale. Wakiendelea hivi katika gemu zijazo na wakaelewana vizuri, Yanga itakuwa moto sana. Leo tu wamecheza pungufu lakini Gor Mahia shughuli pevu waliiona.
Huu ndio uswahili wa kujisifu tuuu hata kama umeshindwa.Endeleeni na kesho magazetini YANGA YASHINDWA KWA TAABU SANA!KWELI YANGA HII HATARI
 
Back
Top Bottom