Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 5,818
- 5,555
Dah, poleni sana wa kimataifa, wa mchangani wanasherekea leo.
Vv
Vv
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
!
!
asante gor mahia, sasa nikashushie na kili barrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrd
Mkuu,vp Taifa?..nimesikia Kandambili kafa eti ni kweli hizi habari?,nijuze muungwana!..
Team ya Taifa Mbovu
Hivi mnategemea hali ya Club zake ipoje.
Acha tujifariji kwamba tulicheza vizuri ila bahari haikuwa kwetu,maana ndio mwimbo wa Taifa wa vibonde sie.
Naona pesa za kuihonga Gor Mahia yoote waliipeleka Dodomia!Du, poleni sana. Viroba vya pesa mlielekeza dodoma na haya ndio matokeo, watacatch akili zikitulia
!
!
asante gor mahia, sasa nikashushie na kili barrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrd
Group qualifications games wala sina wasiwasi kabisa . Yanga imelala lakini kwenye kundi itapenya. Baada ya hapo tuonane !
Koh koh koh!
Huu ndio uswahili wa kujisifu tuuu hata kama umeshindwa.Endeleeni na kesho magazetini YANGA YASHINDWA KWA TAABU SANA!KWELI YANGA HII HATARIKwa wafuatiliaji wa mpira wanajua nini kilichokuwa kinaendelea pale uwanjani. Kumbuka gor mahia kwao ligi bado inaendelea na first eleven yake sio mpya. First eleven ya yanga naweza sema ni mpya coz ukiangalia kikosi cha leo kuna watu kama ngoma, zutah, kaseke na wageni wengineo ndio gemu yao ya kwanza kiushindani wakiwa na yanga, wanahitaji connection na kuelewana kati yao na wale waliokuwepo msimu uliopita.
Ukicheki kwa gemu ya leo timu ya wananchi haikuwa mbaya kabisa vijana wamejitahidi na wameonyesha mchezo mzuri japo kuna makosa ya hapa na pale. Wakiendelea hivi katika gemu zijazo na wakaelewana vizuri, Yanga itakuwa moto sana. Leo tu wamecheza pungufu lakini Gor Mahia shughuli pevu waliiona.