Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga wamekosa magori zaidi ya 5!!!!!
Yangaaaaaaaaa dah anatoa kipa half time...
Mtani mbona unapenda sana kuiombea mabaya YANGA kah.
Bado bila bila au mtanganyika kashaona nyavu?
Hao wazenj wamebanaa! Hopefully wataachia tu!
Yangaaaaa dah..mpira umetua juu ya net..hawa wetu leo
na waachie kweli,
wanabana ili mikia waanze kutucheka sie?
Hapana hatutakubali.
Wazenji wanapigiwa mpira balaa...na leo ndio wanamalizia ile sita!!