Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

Yangaaaaaaaaa dah anatoa kipa half time...
 
Yangaaaaa dah..mpira umetua juu ya net..hawa wetu leo
 
Wazenji wanapigiwa mpira balaa...na leo ndio wanamalizia ile sita!!
 
Wazenji wanapigiwa mpira balaa...na leo ndio wanamalizia zile sita!!
 
Back
Top Bottom