Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

Mikia na ma-yebotebo wataanza urafiki Wa mashaka ili kuikamia Azam. Bakhresa kaaga kwao,hapo mmenoa.
 
Simba: azamu kwetu ni cha mtoto tu dozi tunazotoa znbar salamu kwa yeboyebo na azamu pia
 
General field marshal kamanda mkuu

Paschal Wawa.

All hail lord Aishi Manula
 
Afadhali!!

Itabidi wana Msimbazi tuishabikie Azam ili Gor isiikute record yetu.

kwa iyo mkishabikia ndo mnazuia magoli? kama ni wakufungwa watafungwa tu na kama ni wakushinda watashinda tu ata msipowashangilia,
sema tuishangilie Azam coz inaiwakilisha TZ.

kwanza wenzenu walishawakataa mbona mnawang'ang'ania? si mjishangilie wenyewe?
 
Back
Top Bottom