Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona eeeeeKwa mara nyingine tena kuna mtu analia
Mtaje basiiiiiiiiKwa mara nyingine tena kuna mtu analia
WapoooooooYanga ipo?
mwaka wa shetani mpaka mtajizuru wote mwaka huu!!! utakwepaje hapa
Mpaka wachezaji watajiuzuluNaona zamu ya Makamo Mwenyekiti Kujiuzulu imefika.
Ndio Watabomoka zaidi coz watajiuzulu mpk mashabikiYanga isishiriki michuano hiyo, ijijenge kwanza
Sijui wana hali gn mkuu?hebu tupe taarifaWapooooooo
wametoka juzi Nairobi nasikia hawajafika DarSijui wana hali gn mkuu?hebu tupe taarifa
Wamemkimbia Nairobi lkn huku Hakuna namnaYanga safari hamna namna ya kumkimbia Simba SC