Kagame Cup:Simba, Yanga kundi moja!Yanga hakuna kukimbia

Kagame Cup:Simba, Yanga kundi moja!Yanga hakuna kukimbia

Kizibo255

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2011
Posts
515
Reaction score
376
IMG-20180605-WA0027.jpg
IMG-20180605-WA0021.jpg


Watani wa jadi nchini wanatarajia kukutana kwenye michuano ya Kagame yanayotarajiwa kufanyika nchini kuanzia tarehe 30 juni mwaka huu
Mchezo wa Simba dhidi ya Yanga utafanyika julai 5 saa 10 jioni
Karibuni
 
Wapo kundi C
Yanga Sc
Simba Sc
St. George ( Ethiopia)
Dakadaha (Somalia)
 
Makundi mengine ni kama ifuatavyo
KUNDI B
Rayon (Rwanda)
Gor Mahia ( Kenya)
Lydia Ludic ( Burundi)
Ports ( Djibouti)
 
KUNDI A
Azam (Tz)
Uganda (Reps)
JKU (Zanzibar)
Kator Fc (South Sudan)
 
Naona zamu ya Makamo Mwenyekiti Kujiuzulu imefika.
 
mashabiki wa Simba tutaujaza uwanja wote kwani hawa jamaa waoga hawatakuja uwanjani kushuhudia kipigo.Wamesajiri kijeba ngasa toka ndanda halufu ya goli tano naioona kwa mbali.hii itakuwa zawadi kwa kagame na timu zote za ukanda huu!!!!Asante KAGAME kwa fursa hii mwaka huu.MUNGU akupe nini? mpaka jengo lenu mtalibomoa mwaka huu kwa hasira
 
Back
Top Bottom