Kagame hakuja msibani kumzika rais wetu, na alikaa miezi siku nyingi sana kabla hajatupa pole, Rais Samia unakwenda Rwanda kufanya nini?

Kuna 'mambo' yanakera na hayavumiliki.
 
We chawa wa magu

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Inasemekana kagame alimwingiza chaka mwenda zake kwenye tanzanite alizokwapua kwa Yule mchimbaji mkubwa ndo maana urafiki uliisha ghafla.
 
Inasemekana kagame alimwingiza chaka mwenda zake kwenye tanzanite alizokwapua kwa Yule mchimbaji mkubwa ndo maana urafiki uliisha ghafla.
This is exactly the continuation of 'Foolishness' from few of you who are also known as 'Swahili Intellectuals' on different Social Platforms and in our Society as well.
 
1:Huyo Mama aka Eagle1 anamchora tu Pk,
2:Ana details zote za Huyo jamaa,Mpaka anaenda Rwanda,na Pk anajua hilo.
3:Kuna kitu alikiongea kwenye kusaini sijui mkongo Alafu mko mbele kitu gani,Pk mwenyewe anaelewa kilichomaanishwa,
4:Tz ni taifa kubwa sana EA,na Watawala wote wanalijua hilo,wanachostaajabishwa ni namna intelligence zetu zinavyofanya kazi.
 
This is exactly the continuation of 'Foolishness' from few of you who are also known as 'Swahili Intellectuals' on different Social Platforms and in our Society as well.
Mind your own business.
 
Another Fool. Hivi ni nani alikuambia kuwa Rais Paul Kagame nae haijui 'System' ya Tanzania tena ndani nje kwani Yeye pamoja na aliyekuwa Raia wa Congo DR ( Hayati Laurent Desire Kabila ) Tanzania akijulikana kama Baba Simwale walishawahi kuwa sehemu yake Awamu za Mwalimu Nyerere na Mzee Mwinyi?

Kama ambavyo Tanzania mmepandikiza Majasusi ( Manjagu ) wenu huko Rwanda ndiyo hivyo Rwanda nao wamepandikiza wao Kwenu Tanzania tena wao sasa wakiwa Wamejazana katika Sekta ( Idara ) zenu muhimu za Ulinzi na Usalama achilia mbali pale TPA na TRA ambako wamejazana wengi tu.

Endeleeni Kujitutumua tu Kipumbavu.
 
Kagame is so much cunning and wicked in his own ways. He has a very strange annoying character. Pure mercilessly capitalist. He is a self centered brutal autocratic dictator.
ndo nn umeandika unaficha nn hata kufata huku bana
 
Samia mbangaizaji tu show off tu Rwanda nchi masikini zaidi Afrika Mashariki amefuata nini kama sio kwenda kusomea kesi ya udikteta amuulize mwendazake alivyotendwa na shetani kagame muuaji mkuu
 
Mkuu, CCM haina viongozi,bali uchafu mtupu,na wala TISS haina nguvu Kama enzi za Nyerere na Mkapa, ndo maana huyo mama anakwenda Rwanda Kama juha bila hata tafakuri
 
Tuliuziwa mbuzi kwenye gunia kivipi?watanzania hamna shukrani kwa mungu
Shukrani gani?
Ana tofsuti gani na mwendazake?
Tutashukuru kwa wema na sio huu upumbavu unaofanyika, tozo, kubambikizia kesi, kuongeza ushuru kwa bidhaa muhimu ilhali uchumi ni mbovu.
Kodi ni muhimu lkn sio hii ya kukamuana hadi kinyesi...hajui atakalo
 
Huyu ni mbovu kuliko marais wote
 
Mmmh kulikuwa na kizuizi gani?
 
Kagame is so much cunning and wicked in his own ways. He has a very strange annoying character. Pure mercilessly capitalist. He is a self centered brutal autocratic dictator.
Kuna jamaa alikuwa anamshambulia kama wewe sijui kapotelea wapi ( jokes usije kimbia jukwaa)!
 
Twende taratibu kwanza...
Ameshaacha kuupiga mwingi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…