Kagame anajua kuna beef la South Africa na USA kwasababu ya BRICS. Sasa kajioendekeza kwa Marco Rubio ambaye ni kama waziri wa mambo ya nje wa USA. Yaani migogoro yetu wanajenshi wetu wanakufa mpaka leo tunasubiria wazungu wazuie sisi kuuwana. Kijinga zaidi silaha tuna nunua kwao.! Lakini kagame huyohuyo ndiye wa kwanza kusema hatuwahitaji west!!! yaani ni unafiki wa aina gani
View: https://youtu.be/lr3kCRpg1v8?si=JHAHo_5B1lK_Us7t
View: https://youtu.be/lr3kCRpg1v8?si=JHAHo_5B1lK_Us7t