Juice world
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,982
- 2,706
Leo nataka tujadili maana naona nchi za Africa zinamuogopa huyu jamaa au ndio mbabe wao maana nasikia jamaa akikoroma kidogo tu nchi nyingine zinatetemeka halafu nchi yake ni kama Israel ni ndogo ila haigusiki kijeshi mnaojua huyu jamaa anajiamini nini maana nchi yake ni ndogo au ndio anataka kuwa Benjamin Netanyahu