Kagame ndio rais mbabe Afrika?

Kagame ndio rais mbabe Afrika?

Uongo anaogopeka maana anawwakoromea wote wanamhanya upande wa nchi tafuta jina la Israeli kwenye upande wa jeshi ndio utajua
Hakuna anayemuogopa ila wanaona watapoteza muda kupigana nae na wakati hana mali zozote..!! Siku hizi vita zinapigwa kimaslahi sio unapiga nchi ambayo baadae itakucost kuihudumia na kuiboresha..!!

Huyo PAKA zaidi ukipigana nae labda uambulie wanawake basi..!! Hawana madini wala mafuta, wao wenyewe wanaitegemea Kongo waibe madini.!
 
Hakuna anayemuogopa ila wanaona watapoteza muda kupigana nae na wakati hana mali zozote..!! Siku hizi vita zinapigwa kimaslahi sio unapiga nchi ambayo baadae itakucost kuigharamia kuiboresha..!!

Huyo PAKA zaidi ukipigana labda uambulie wanawake basi..!! Hawana madini wala mafuta, wao wenyewe wanaitegemea Kongo waibe madini.!
Kashachukua goma sasahivi yeye ni tajiri kuzidi tanzania na nchi nyingine za Africa maana Mali iliyopo goma tanzania hata nusu haifikii
 
Kipindi cha utawala wa Kikwete huyo Kagame alitaka kuingia choo cha kike baada ya Kikwete kumlaumu kuunga mkono hao waasi. Walirumbana kidogo, na Kagame aliufyata na tayari Kikwete alikuwa ameishaandaa vijana wake.
 
Huyo tall mnampambisha bure tu. Hapo alipo anatumika na USA, sasa huyo bwana wake aki mwacha si ana baki mweupe kila mtu atajipigia kama Yanga na Man city tu. Yaani kila ajaye lazima amwagie ndani. Kama kweli ni mbabe na ana ya weza aseme su... Geita/Mwadui ni za kwake aliachuwa na babu zake uone atakavyo sulubiwa 🤣🚮
 
Kamchokoze madini yaliyopo goma tanzania nzima hata robo haifikii
 
Kashachukua goma sasahivi yeye ni tajiri kuzidi tanzania na nchi nyingine za Africa maana Mali iliyopo goma tanzania hata nusu haifikii

Utajiri ni Pato la Taifa bosi.. utajiri sio maneno matupu.

Weka GDP ya rwanda tulinganishe na GDP ya Tanzania

Weka maendeleo ya Rwanda tulinganishe na Tanzania
 
Bila shaka katete ardhi yake ya ghaza isiangukie mikono ya mayahudi
Kama hamas wangeshindwa sasahivi watu wa ghaza wangekuwa wakimbizi
Kumbe shida ardhi basi hapo hamna ushindi siku yeyote Israel atafurumisha mabomu raia watakufa na makazi yanaharibila tena yaani inakua kazi bure
 
Utajiri ni Pato la Taifa bosi.. utajiri sio maneno matupu.

Weka GDP ya rwanda tulinganishe na GDP ya Tanzania

Weka maendeleo ya Rwanda tulinganishe na Tanzania
Weka wewe uliyeleta habari za GDP yaani mada uilete wewe nikuwekee Mimi upo timamu kichwani
 
Huwezi kumvamia jirani yako bila sababu.
Kwakuwa mnasema anaogopwa yeye aje achezee mipaka ya Tanzania ili tuthibitishe kuogopwa kwake.
Huna Mali za kuja kuchezea mpaka wako yeye anadili kwenye Mali ungekua na mali ungeona ni jinsi Gani jamaa mbabe kama unanguvu gusa mpaka wake
 
Back
Top Bottom