Juice world
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,982
- 2,706
- Thread starter
- #21
Hao itakua waburundi ndio wananjaaTema mate chini hawa hawa rwanda wanaoitamani Tanzania na wanaingia kimya kimya wapo mitaani tele wanaishi kwa amani na kufurahia zaidi kuliko huko walipokuwa.