Juice world
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,982
- 2,706
- Thread starter
- #41
Hao warundi bhana usilazimishe mamboHata watutsi wamejaa kuhama na ngara wanazamia kila siku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao warundi bhana usilazimishe mamboHata watutsi wamejaa kuhama na ngara wanazamia kila siku
Hakuna anayemuogopa ila wanaona watapoteza muda kupigana nae na wakati hana mali zozote..!! Siku hizi vita zinapigwa kimaslahi sio unapiga nchi ambayo baadae itakucost kuihudumia na kuiboresha..!!Uongo anaogopeka maana anawwakoromea wote wanamhanya upande wa nchi tafuta jina la Israeli kwenye upande wa jeshi ndio utajua
Kwahiyo hamasi kashinda?Asijidanganye na weapons anazo pewa na ufaransa hata Israeli ilikuwa ikipewa misaada hivyo hivyo mwisho wa siku ikakubali yaishe mbele ya HAMAS
Kashachukua goma sasahivi yeye ni tajiri kuzidi tanzania na nchi nyingine za Africa maana Mali iliyopo goma tanzania hata nusu haifikiiHakuna anayemuogopa ila wanaona watapoteza muda kupigana nae na wakati hana mali zozote..!! Siku hizi vita zinapigwa kimaslahi sio unapiga nchi ambayo baadae itakucost kuigharamia kuiboresha..!!
Huyo PAKA zaidi ukipigana labda uambulie wanawake basi..!! Hawana madini wala mafuta, wao wenyewe wanaitegemea Kongo waibe madini.!
😹😹 Propaganda hizo..Kashachukua goma sasahivi yeye ni tajiri kuzidi tanzania maana Mali iliyopo goma tanzania hata nusu haifikii
Propaganda Gani wakati askari wake wa m 23 wameshikilia goma na Madini ya goma tu tanzania hata robo haiingii😹😹 Propaganda hizo..
Kamchokoze madini yaliyopo goma tanzania nzima hata robo haifikiiHuyo tall mnampambisha bure tu. Hapo alipo anatumika na USA, sasa huyo bwana wake aki mwacha si ana baki mweupe kila mtu atajipigia kama Yanga na Man city tu. Yaani kila ajaye lazima amwagie ndani. Kama kweli ni mbabe na ana ya weza aseme su... Geita/Mwadui ni za kwake aliachuwa na babu zake uone atakavyo sulubiwa 🤣🚮
SijuiMbabe au m babe?
Bila shaka katete ardhi yake ya ghaza isiangukie mikono ya mayahudiKwahiyo hamasi kashinda?
Kashachukua goma sasahivi yeye ni tajiri kuzidi tanzania na nchi nyingine za Africa maana Mali iliyopo goma tanzania hata nusu haifikii
Kumbe shida ardhi basi hapo hamna ushindi siku yeyote Israel atafurumisha mabomu raia watakufa na makazi yanaharibila tena yaani inakua kazi bureBila shaka katete ardhi yake ya ghaza isiangukie mikono ya mayahudi
Kama hamas wangeshindwa sasahivi watu wa ghaza wangekuwa wakimbizi
Anaogopwa vipi mkuu?Mbona naogopwa sana africa
Weka wewe uliyeleta habari za GDP yaani mada uilete wewe nikuwekee Mimi upo timamu kichwaniUtajiri ni Pato la Taifa bosi.. utajiri sio maneno matupu.
Weka GDP ya rwanda tulinganishe na GDP ya Tanzania
Weka maendeleo ya Rwanda tulinganishe na Tanzania
Amesema mkamguse muone motoAnaogopwa vipi mkuu?
Si ajaribu kuvamia mipaka ya tz tuone namna anavyoogopwa.
Huwezi kumvamia jirani yako bila sababu.Amesema mkamguse muone moto
Huna Mali za kuja kuchezea mpaka wako yeye anadili kwenye Mali ungekua na mali ungeona ni jinsi Gani jamaa mbabe kama unanguvu gusa mpaka wakeHuwezi kumvamia jirani yako bila sababu.
Kwakuwa mnasema anaogopwa yeye aje achezee mipaka ya Tanzania ili tuthibitishe kuogopwa kwake.