Juice world
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,982
- 2,706
Anatumikishwa na mabeperi hana lolote huyu, anamtafuta SA kwa masirahi ya Israel ili aingii vitani.Leo nataka tujadili maana naona nchi za Africa zinamuogopa huyu jamaa au ndio mbabe wao maana nasikia jamaa nchi yake ni kama Israel mnaojua huyu jamaa anajiamini nini maana nchi yake ni ndogo au ndio anataka kuwa Benjamin netanyahu
Sio kweli huyu jamaa ni mkorofi tuAnatumikishwa na mabeperi hana lolote huyu, anamtafuta SA kwa masirahi ya Israel ili aingii vitani.
Ukorofi gani zaidi ya kua sycophant leader wa wa zungu, hali ya raia wa kawaida Rwanda ni mbaya sana aridhi ni shida chakula shida kama ni mbabe ajimegee Tanzania hata 100km tu au Congo ndotujue ni mbabe kuongea tu sio ubabe.Sio kweli huyu jamaa ni mkorofi tu
Sio kweli Tanzania wananchi Wanamaisha magumu kuliko RwandaUkorofi gani zaidi ya kua sycophant leader wa wa zungu, hali ya raia wa kawaida Rwanda ni mbaya sana aridhi ni shida chakula shida kama ni mbabe ajimegee Tanzania hata 100km tu au Congo ndotujue ni mbabe kuongea tu sio ubabe.
Jamaa mkorofi sanaSipati picha huyu jamaa DRC ndio ingekuwa nchi yake yeye akiwa rais! Ni balaa.
Mbona naogopwa sana africaHana lolote ni dikteta uchwara tu
Wapi uko unako ishi wewe kwenye maisha magumu hapa Tanzania?Sio kweli Tanzania wananchi Wanamaisha magumu kuliko Rwanda
Africa nzima mnamuogopaMbabe kwa nchi zenye marais wajinga
We unaishi tanzania Gani yenye maisha rahisiWapi uko unako ishi wewe kwenye maisha magumu hapa Tanzania?
Leo nataka tujadili maana naona nchi za Africa zinamuogopa huyu jamaa au ndio mbabe wao maana nasikia jamaa nchi yake ni kama Israel mnaojua huyu jamaa anajiamini nini maana nchi yake ni ndogo au ndio anataka kuwa Benjamin Netanyahu
Tema mate chini hawa hawa rwanda wanaoitamani Tanzania na wanaingia kimya kimya wapo mitaani tele wanaishi kwa amani na kufurahia zaidi kuliko huko walipokuwa.Sio kweli Tanzania wananchi Wanamaisha magumu kuliko Rwanda
Tanzania pia inamuogopa haitaki kumsikia inasemekana jamaa yupo kama netanyahu yaani nchi ndogo ila jeshi lake hatari Sasa hiviMwehu tu huyu............akitaka kurusha teke lake la mwisho mwambie avamie tanzania............maana mimi nina hamu na yule mwanae angel kagame ...........nataka kukifyatua kile kizazi walahi