Na aliwaondoa wakimbizi wa Rwanda akawarudisha kwao mbona waliomba po!Siyo mbabe wala nchi nyingine hazimuogopi. Ni kwamba yeye siyo mtu mstaarabu wakati wenzie ni wastaarabu. Miaka ya nyuma wakati Kikwete akiwa Rais alimshauri kuwa afanye mazungumzo na waasi ili wamalize mgogoro kwa njia za amani, yeye akamjibu kwa dharau kuwa hawezi kuongea na watu wa genocide. Kikwete alinyamza ila akamtuma General Mwakiborwa kwenda kuwafumua vibaraka wake M23 mpaka akashika adabu.
Angalia Kikwete na Zuma wakicheza muziki baada ya kuwafurumisha M23 wa Kagame
View attachment 3219079
Kama ni mbabe asikubali kushinikizwa yeye si mbabe aendelee kushupaza shingo au wewe hujui maana ya mbabe.Hili lilifanikiwa baada ya Obama na nchi za magharibi kuishinikiza Rwanda ikiwemo kuzuia misaada Ili iache kusaidia waasi wa M23.
Hata Sasa ni shinikizo la mabeberu tu kwa Kagame litamfanya aondoe askari wake huko Drc.
Ni sawa na mtu akwambie umuachie mkeo awe analala nae wewe utakula,kunywa na kulala bure.Vipi wewe ungekubali.Unamuachiaje mtu bandari huo si wenda wazimu.Watanzania tulikubaliana tunapenda wanajeshi. Kama Sankara. Traore yule wa Guinea au hata wale makomandoo wetu wavebands mdogi. Tunaanzaje kumkataa meshing Paulo. Aliwahi kutuomba tumuachie bandari aiendeshe kijeshi sisi tupokee maokoto tu.
Africa imegawanywa katika sub-continents kuu mbili:Leo nataka tujadili maana naona nchi za Africa zinamuogopa huyu jamaa au ndio mbabe wao maana nasikia jamaa akikoroma kidogo tu nchi nyingine zinatetemeka halafu nchi yake ni kama Israel ni ndogo ila haigusiki kijeshi mnaojua huyu jamaa anajiamini nini maana nchi yake ni ndogo au ndio anataka kuwa Benjamin Netanyahu
Sio kweli Tanzania wananchi Wanamaisha magumu kuliko Rwanda
Hao sio wa rwanda hizo ni propaganda tu
Wenye pesa Rwanda ni ndugu zake Kagame tu.Hao sio wa rwanda hizo ni propaganda tu
Hizo propaganda wewe
Positive Propaganda hiyo mdogo wangu.Hizo propaganda wewe
Hana ubabe wowote, Rwanda, Kagame anatumika na USA, kwenye Vita dhidi ya ugaidi, popote pale duniani kwenye maslahi ya USA, Ishu ya ugaidi, Anamtumia Rwanda, Rwanda yupo Msumbiji, anapigana Vita za USA, ili mzungu aibe vzr!Leo nataka tujadili maana naona nchi za Africa zinamuogopa huyu jamaa au ndio mbabe wao maana nasikia jamaa akikoroma kidogo tu nchi nyingine zinatetemeka halafu nchi yake ni kama Israel ni ndogo ila haigusiki kijeshi mnaojua huyu jamaa anajiamini nini maana nchi yake ni ndogo au ndio anataka kuwa Benjamin Netanyahu
Huyo analiwa bana, tena ana pakwa babe oil na kina waka fresh tu. Ana wazingua wa congo man tu maana hawako orginizeKamchokoze madini yaliyopo goma tanzania nzima hata robo haifikii
Nenda sasaHuyo analiwa bana, tena ana pakwa babe oil na kina waka fresh tu. Ana wazingua wa congo man tu maana hawako orginize
Nipo bukavu hapa wewe wapi? 🤒Nenda sasa
Kagame kaishikilia goma we upo bukavu una akili timamu kweli 🤣🤣🤣🤣🤣Nipo bukavu hapa wewe wapi? 🤒
Bukavu na Goma sio mbaliKagame kaishikilia goma we upo bukavu una akili timamu kweli 🤣🤣🤣🤣🤣
Unapiga mihayo bwasheheLeo nataka tujadili maana naona nchi za Africa zinamuogopa huyu jamaa au ndio mbabe wao maana nasikia jamaa akikoroma kidogo tu nchi nyingine zinatetemeka halafu nchi yake ni kama Israel ni ndogo ila haigusiki kijeshi mnaojua huyu jamaa anajiamini nini maana nchi yake ni ndogo au ndio anataka kuwa Benjamin Netanyahu
Big pointMbabe kwa nchi zenye marais wajinga