Kagame ndio rais mbabe Afrika?

Kagame ndio rais mbabe Afrika?

Siyo mbabe wala nchi nyingine hazimuogopi. Ni kwamba yeye siyo mtu mstaarabu wakati wenzie ni wastaarabu. Miaka ya nyuma wakati Kikwete akiwa Rais alimshauri kuwa afanye mazungumzo na waasi ili wamalize mgogoro kwa njia za amani, yeye akamjibu kwa dharau kuwa hawezi kuongea na watu wa genocide. Kikwete alinyamza ila akamtuma General Mwakiborwa kwenda kuwafumua vibaraka wake M23 mpaka akashika adabu.

Angalia Kikwete na Zuma wakicheza muziki baada ya kuwafurumisha M23 wa Kagame

View attachment 3219079
Na aliwaondoa wakimbizi wa Rwanda akawarudisha kwao mbona waliomba po!
 
Kagame sio raisi mbabe Sema ni kibaraka wa Wazungu kama ilivyo Netanyau na Zelesk
 
Mbabe kwa raia wake tu. Watu wengi wanampuuza wakimsuniria anguko lake.Maana lazima apate PAYBACK!!!

ila hata akina Mobutu,Noriega,Sadam Hussein,Osama,Asad wa Syria to mentiin but few. Walikuwa vibaraka ila baada ya kutumika kama tissue paper waliondolewa madarakani kwa aibu kabisa.

📌📌📌So huyo kibaraka wa wazungu aombe afe natural death maana hao mabwana zake wakishakamilisha malengo yao watamfanya kitu mbaya kama kawa kama dawa!!!
 
Hili lilifanikiwa baada ya Obama na nchi za magharibi kuishinikiza Rwanda ikiwemo kuzuia misaada Ili iache kusaidia waasi wa M23.

Hata Sasa ni shinikizo la mabeberu tu kwa Kagame litamfanya aondoe askari wake huko Drc.
Kama ni mbabe asikubali kushinikizwa yeye si mbabe aendelee kushupaza shingo au wewe hujui maana ya mbabe.

Unakua mbabe kwa nani wakati huna nguvu huna pesa😁😁😁😁kijana weka ushabiki pembeni anza kufanya reasoning!!!
 
Watanzania tulikubaliana tunapenda wanajeshi. Kama Sankara. Traore yule wa Guinea au hata wale makomandoo wetu wavebands mdogi. Tunaanzaje kumkataa meshing Paulo. Aliwahi kutuomba tumuachie bandari aiendeshe kijeshi sisi tupokee maokoto tu.
Ni sawa na mtu akwambie umuachie mkeo awe analala nae wewe utakula,kunywa na kulala bure.Vipi wewe ungekubali.Unamuachiaje mtu bandari huo si wenda wazimu.

Aende Mozambique huko Cabo delgado akuwaombe bandari ila hapa bongo kumpa bandari ni matusi zaidi ya matusi.
 
Leo nataka tujadili maana naona nchi za Africa zinamuogopa huyu jamaa au ndio mbabe wao maana nasikia jamaa akikoroma kidogo tu nchi nyingine zinatetemeka halafu nchi yake ni kama Israel ni ndogo ila haigusiki kijeshi mnaojua huyu jamaa anajiamini nini maana nchi yake ni ndogo au ndio anataka kuwa Benjamin Netanyahu
Africa imegawanywa katika sub-continents kuu mbili:
1. North Africa(Africa ya watu weupe/waarabu)
2. Sub-Saharan Africa(Africa ya watu weusi akina sisi)

Tuachane na namba 1 hapo juu kwa kuwa huyo bwana hana ubabe wowote wa kuwatisha waarabu kule North.

Tujadili namba 2.....Sub Saharan Africa ambayo nayo kuna West Africa, Central Africa, East Africa, Horn of africa(Ethiopia, Eritrea, Somalia & Djibout) na South Africa.

Kama ni ubabe atamfanyia nani kule West Africa...hakuna. Central Africa...hakuna. Horn of Africa...hakuna.

Inabaki East Africa na maybe South Africa.....hapo ndipo anapofanya maneno yake. Kwa hiyo-siyo sahihi kusema ni mbabe wa Africa, Africa kubwa mzee.
 
Sio kweli Tanzania wananchi Wanamaisha magumu kuliko Rwanda
1738394431424.png
 
Leo nataka tujadili maana naona nchi za Africa zinamuogopa huyu jamaa au ndio mbabe wao maana nasikia jamaa akikoroma kidogo tu nchi nyingine zinatetemeka halafu nchi yake ni kama Israel ni ndogo ila haigusiki kijeshi mnaojua huyu jamaa anajiamini nini maana nchi yake ni ndogo au ndio anataka kuwa Benjamin Netanyahu
Hana ubabe wowote, Rwanda, Kagame anatumika na USA, kwenye Vita dhidi ya ugaidi, popote pale duniani kwenye maslahi ya USA, Ishu ya ugaidi, Anamtumia Rwanda, Rwanda yupo Msumbiji, anapigana Vita za USA, ili mzungu aibe vzr!
 
Kamchokoze madini yaliyopo goma tanzania nzima hata robo haifikii
Huyo analiwa bana, tena ana pakwa babe oil na kina waka fresh tu. Ana wazingua wa congo man tu maana hawako orginize
 
Leo nataka tujadili maana naona nchi za Africa zinamuogopa huyu jamaa au ndio mbabe wao maana nasikia jamaa akikoroma kidogo tu nchi nyingine zinatetemeka halafu nchi yake ni kama Israel ni ndogo ila haigusiki kijeshi mnaojua huyu jamaa anajiamini nini maana nchi yake ni ndogo au ndio anataka kuwa Benjamin Netanyahu
Unapiga mihayo bwashehe
 
Back
Top Bottom