Siyo mbabe wala nchi nyingine hazimuogopi. Ni kwamba yeye siyo mtu mstaarabu wakati wenzie ni wastaarabu. Miaka ya nyuma wakati Kikwete akiwa Rais alimshauri kuwa afanye mazungumzo na waasi ili wamalize mgogoro kwa njia za amani, yeye akamjibu kwa dharau kuwa hawezi kuongea na watu wa genocide. Kikwete alinyamza ila akamtuma General Mwakiborwa kwenda kuwafumua vibaraka wake M23 mpaka akashika adabu.
Angalia Kikwete na Zuma wakicheza muziki baada ya kuwafurumisha M23 wa Kagame
View attachment 3219079