Kagame: Nipo tayari kuendelea kuongoza Rwanda kwa miaka 20 zaidi

Kagame: Nipo tayari kuendelea kuongoza Rwanda kwa miaka 20 zaidi

Ghadafi hakuponzwa na hilo. Bali ni maono yake kuwa tofauti na maslahi ya Magharibi.

Ila ukiwa na kiongozi mmoja mzalendo na mwenye maono sahihi na utekelezaji mzuri nchi inapiga hatua kubwa sana kuliko kubadilibadili maraisi kila baada ya miaka kumi maana kila Rais anaingia na mtazamo wake mpya.

Kunakuwa hakuna muendelezo.

Ncho zote zilizofanikiwa kufanya mapinduzi ya viwanda na kupiga hatua za maendeleo zimefanya hayo nje ya demokrasia.

Demokrasia hii ya Magharibi na mapinduzi ya kiuchumi ni mafuta na maji. Demokrasia ya kiMagharibi ni anasa ya waliokwishatajirika.
Sasa huku Afrika mpaka tunaweka maraisi wehu wataleta maendeleo gani?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hamna chochote anahofia aki retire anayekuja huenda akamuwajibisha yeye na biashara zak

Hamna chochote anahofia aki retire anayekuja huenda akamuwajibisha yeye na biashara zake.
Hayo ni moja kati ya maalfu ya maoni/mtazamo/fikra na chambuzi kuhusu uongozi wa Paul kagame, Kagame Mtu wa maandishi sana-anajua anacho kifanya huyu mtu(Kama wao wanakunywa coca na sisi tunywe coca,SIsi ni akinanani hata tushindwe kunywa coca..??)
 
Consider this, 75% of Tutsi minirority were brutally murdered by Hutu extremist during the genocide. Is the ethnic strive over? How will the minority fair on under a democratic majority rule? Kagame iron grip on power could be understandable if not condoned.
 
Back
Top Bottom