MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Rais Kagame angeiongoza Tanzania kwa alivyo Mpenda Maendeleo na Mtu wa Mikakati na siyo Mtu wa kupenda Upuuzi, Uswahili na kupoteza muda hivi sasa ingefanana na Dubai.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimependa uliposema ni swala la kusubiri bahati tu! Kwa kifupi kutoka na maelezo yako kama ilivyotokea kwa Raisi Magufuli! Ilikuwa ni bahati tu mtu mwenye "maono " kama Magufuli akatokea! Je huoni ni hatari nchi kusubiri "bahati "tu kumpata kiongozi, Bali njia ya hakika ni taasisi imara na dira inayojulikana ambayo taifa limekubaliana kuliongoza taifa.Angalia "maono" au "uzalendo" wa mtu Mmoja ulivyoondolea na kifo! Inabidi Tanzania kwa baadhi ya mtazamo wa wananchi inachukua mwelekeo tofauti! Mwanafalsa nakubali kabisa Demokrasia sio Coca-Cola, lakini lazima kuwe na mfumo wa aina fulani ambayo jamii kwa sehemu kubwa itawashirikisha wengi katika kuamua mustakabali wa maisha yao.Africa tuna nafasi nzuri ya kujifunza nini cha kuchukua au kuacha katika mfumo wa demokrasia ya Kimagharibi, na pia kujifunza kutoka nchi za Kikomunist au Kijamaa. Mbona China iliweza kufanya adjustment kubwa kwenye system yao baada kuona wazi kiuchumu hawatafiki mbali. Nachokubaliana na wewe utawala wa Kiimla unaweza kuikwamua jamii iliyokwama kwa muda tu! But in long,the oppressive elements inaanza tena to destroy ilichokuwa inakijenga! Kwa mtazamo wangu hata Magufuli asingweza kufika mbali! Tungerudi nyuma zaidi ya tulipokuwa. Namheshimu kwa sehemu! Hata kina Mao waliofanya mengi,kuna kipindi maono yao yalikoma! Maono ya Magufuli na modal yake isingefikisha taifa let mbali! Ingekwama tu,historia imeonyesha hivyo.Kanuni ya kumpata hata nikiitoa haitaweza kutumika.
Kwa hiyo ni suala la kusubiri bahati tu siku akipatikana mtu wa aina hiyo afanye mapinduzi.
Dhana za uhuru na demokrasia sio shida. Hakuna anayetaka uhuru usio na mipaka. Na wabishi wabishi wachache huwa hawakosekani, lakini matunda ya uongozi huwa yanatosha kuwanyamazisha.
Mfano Magufuli wapo waliomlalamikia lakini mwisho wa siku matunda ya uongozi wake kwa maslahi mapana ya nchi (badala ya maslahi binafsi ya watu) waliyaona na wakayakubali.
Majenerali sio kwamba ndo wanajua kuongoza. Wengi ni tamaa tu ya kula nchi sio wazalendo.
Mzalendo anakuwa kama Nyerere, yaani kwanza kabisa asiwe na tamaa ya kujitajirisha yeye au kabila lake.
Usiniulize kuhusu kanuni, hili ni suala la kubahatika zaidi kumpata mtu sahihi atakayeweka nchi vizuri. Maana hakuna formula ya kuwa Mkuu wa nchi. Wengi hupiga hesabu za kuupata ukuu wa nchi na huukosa.
Aisee mnajua kurukia kichwa cha habari tu! jamaa alijibu hivo kuendana swali la wale watangazaji wazungu la kuachia madalaka,ikabidi amjibu hivo. aka mjibu nitaka nitaongeza myaka 20 Raia wakiamua sasa shida ikowapi?kuna mwingine wakutupangia nani awe Rais na nani asiwe Rais?.Rais wa Rwanda Paul Kagame, amesema haoni shida yoyote akiendelea kuongoza Rwanda kwa miaka 20 ijayo licha ya kuwa huko nyuma aliwahi kunukuliwa akisema hana mpango wa kugombea katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2024.
Kagame, 64, ambaye anajiandaa kutete nafasi yake ya Urais, amekuwa Rais kwa miaka 22 amesema hana shida na hilo kwa kuw auchaguzi upo kwa ajili ya watu kuchagua wanayemtaka
Baada ya kushinda kwa 99% katika uchaguzi wa 2017 ambapo alibadili katika kwa kuondoa kipengele cha ukomo wa kugombea Urais
Kauli za kusema kuwa hatagombea tena alizitoa 2017 aliponukuliwa na vyombo vya habari vya Rwanda, Mwaka 2012 alipozungumza na Jarida la World Policy na pia Desemba 2019 alipokuwa katika Kongamano Doha, Qatar
Source: BBC
Paul Kagame to seek fourth term as president of Rwanda
Rwanda's leader, who has been in power for two decades, has said he would consider remaining in office for another 20 years.
Paul Kagame told a French TV channel he would stand for president again at the next election in 2024.
In 2015 he changed the constitution, allowing him to stay until 2034.
In the last presidential election five years ago, official figures showed he won 99% of the vote, which many outside the country dismissed as a sham.
Asked if he would seek re-election, Mr Kagame, who is 64, said: "I would consider running for another 20 years. I have no problem with that. Elections are about people choosing."
Human Rights Watch's Central Africa Director Lewis Mudge told the BBC "what comes as a surprise is that some people are indeed surprised."
"Rwanda is a country where it's very, very dangerous to oppose the government, let alone to be a political opponent... and this authoritarian system is going to be the system for the foreseeable future," he said.
One prominent Rwandan critic has even stronger words.
"If he continues for another 20 years Rwanda will be real hell," Charles Kambanda, a lawyer and university lecturer now based in the US, tells the BBC.
Mr Kambanda says Rwandans already live in a climate of fear, and alleges that more than one minister has told him that they remain in government because they fear being assassinated if they leave.
President Kagame however has fiercely defended Rwanda's record on human rights, most recently at a Commonwealth summit in the capital Kigali in June.
Months earlier, in April, the UK announced controversial plans to send some asylum seekers who reach its shores to Rwanda for processing and potential asylum there instead.
That was condemned by the UN who likened it to "trading commodities", but the British prime minister's office has vowed to press ahead with the policy despite Boris Johnson's departure.
Mr Kagame himself came to power in 1994 after his rebel forces helped end the genocide.
Since then he has positioned himself as a champion of development, but his critics say he maintains a tight grip over what is an authoritarian regime.
Democracy ni msendeleo siyo kupishana ikulu . bira we unaelewa!Rais Kagame angeiongoza Tanzania kwa alivyo Mpenda Maendeleo na Mtu wa Mikakati na siyo Mtu wa kupenda Upuuzi, Uswahili na kupoteza muda hivi sasa ingefanana na Dubai.
Udikteta sio ukomunisti na ukomunisti sio udikteta Lee Kuan Yew, Park Chung Hee , Franklin Delano Roosevelt, Donald Trump, Malkia Elizabeth hawa wote sio wakomunisti , Deng Xiaoping Ni mkomunisti lakini alitawala China kwa miaka 10 tu . Narudia tena kwa herufi kubwa UDIKTETA SIO UKOMUNISTI NA UKOMUNISTI SIO UDIKTETA.Kajifunze "power struggle" za kumrithi Joseph Stalin zilizotokea USSR alipofariki mwaka 1953, Wakomunisti hardliners walivyotaka kumpindua Gorbachev 1991.
Soma na Jifunze pia power struggle kubwa iliyozuka wakati wa kumrithi Mao Zedong China na jinsi Deng Xiaoping alivyosaidiwa na baadhi ya "wenye chama" cha CCP kuupata ukuu wa chama na nchi kisha akawapukutisha waliomsadia.
Udikteta na Ukomunisti mifumo ya hovy sana ambayo inaiweka nchi rehani kwa migogoro na machafuko wakati wowote.
Ndiyo.Dikteta aliyewaletea maendeleo sio ?....
Rais Kagame angeiongoza Tanzania kwa alivyo Mpenda Maendeleo na Mtu wa Mikakati na siyo Mtu wa kupenda Upuuzi, Uswahili na kupoteza muda hivi sasa ingefanana na Dubai.
Huyu anataka ya Sri Lanka Tu.......watu wake watakuja kumbandua sebuleni kwake na familia yake wewe mwacheRais wa Rwanda Paul Kagame, amesema haoni shida yoyote akiendelea kuongoza Rwanda kwa miaka 20 ijayo licha ya kuwa huko nyuma aliwahi kunukuliwa akisema hana mpango wa kugombea katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2024.
Kagame, 64, ambaye anajiandaa kutete nafasi yake ya Urais, amekuwa Rais kwa miaka 22 amesema hana shida na hilo kwa kuw auchaguzi upo kwa ajili ya watu kuchagua wanayemtaka
Baada ya kushinda kwa 99% katika uchaguzi wa 2017 ambapo alibadili katika kwa kuondoa kipengele cha ukomo wa kugombea Urais
Kauli za kusema kuwa hatagombea tena alizitoa 2017 aliponukuliwa na vyombo vya habari vya Rwanda, Mwaka 2012 alipozungumza na Jarida la World Policy na pia Desemba 2019 alipokuwa katika Kongamano Doha, Qatar
Source: BBC
Paul Kagame to seek fourth term as president of Rwanda
Rwanda's leader, who has been in power for two decades, has said he would consider remaining in office for another 20 years.
Paul Kagame told a French TV channel he would stand for president again at the next election in 2024.
In 2015 he changed the constitution, allowing him to stay until 2034.
In the last presidential election five years ago, official figures showed he won 99% of the vote, which many outside the country dismissed as a sham.
Asked if he would seek re-election, Mr Kagame, who is 64, said: "I would consider running for another 20 years. I have no problem with that. Elections are about people choosing."
Human Rights Watch's Central Africa Director Lewis Mudge told the BBC "what comes as a surprise is that some people are indeed surprised."
"Rwanda is a country where it's very, very dangerous to oppose the government, let alone to be a political opponent... and this authoritarian system is going to be the system for the foreseeable future," he said.
One prominent Rwandan critic has even stronger words.
"If he continues for another 20 years Rwanda will be real hell," Charles Kambanda, a lawyer and university lecturer now based in the US, tells the BBC.
Mr Kambanda says Rwandans already live in a climate of fear, and alleges that more than one minister has told him that they remain in government because they fear being assassinated if they leave.
President Kagame however has fiercely defended Rwanda's record on human rights, most recently at a Commonwealth summit in the capital Kigali in June.
Months earlier, in April, the UK announced controversial plans to send some asylum seekers who reach its shores to Rwanda for processing and potential asylum there instead.
That was condemned by the UN who likened it to "trading commodities", but the British prime minister's office has vowed to press ahead with the policy despite Boris Johnson's departure.
Mr Kagame himself came to power in 1994 after his rebel forces helped end the genocide.
Since then he has positioned himself as a champion of development, but his critics say he maintains a tight grip over what is an authoritarian regime.
Acha uchuro kwa wenye madaraka wewe, unajua anapambana na changamoto zipi katika huo Urais wake kuhakikisha ulinzi na usalama, uchumi wa nchi na hata maendeleo ya kesho kiujumla [emoji848][emoji57]Ukiona hivyo ujue anakaribia kufa.. Hizo huwa ni dalili za kifo... Akiishi sana ni miaka miwili toka sasa..!
Naona hujasoma andiko langu lote. Tulia ulisome tena maana nimewaongelea viongozi kadhaa. Ishu sio kukaa madarakani. Ishu ni akili, utendaji, maono na uzalendo.
Propaganda za mtandaon zinawachanganya saanaMbona Rwanda haijafanana hata na Dar es Salaam mpaka sasa??
Mkiwa mmeshafanya mapinduzi ya kiuchumi sawa mnaweza kuwa na demokrasia ya uhuru mpana.Ni hivi kwanza kwenye demokrasia za kweli Rais au waziri mkuu ambaye anaongoza vibaya hawezi kukaa hata zaidi ya miaka mitano madarakani achilia mbali hiyo kumi uliyoizoea na unayoizungumzia wewe.
Pia common sense tu itakuambia ni heri kuwa na mfumo ambao hauruhusu mtu yeyote kutawala zaidi ya miaka 10 bila kujali amefanya vizuri sana au vibaya sana.Mfumo wa utawala mfupi ni kwamba ikitokea mmepata bosheni kwa bahati mbaya(kama ilivyo kwa nchi nyingi za Africa) hamtakaa nalo miaka mingi likiwatesa na kuwafanya muishi kama mko jehanamu kwa miaka 20 au 30 au 40.
angalia alikoitoa Rwanda. Sio kuifananisha tu na Dar es Salaam.Mbona Rwanda haijafanana hata na Dar es Salaam mpaka sasa??
angalia alikoitoa Rwanda. Sio kuifananisha tu na Dar es Salaam.
Hamna chochote anahofia aki retire anayekuja huenda akamuwajibisha yeye na biashara zake.Paul Kagame akijitazama katika kioo chake anamuona LEE Kuan Yew Kasimama mbele yake!! Kagame Mtu wa fursa "Nothing is impossible".
Sijui kama analijua hilo! Jiwe aliweka mchwa wake wabadili katiba atawale milele, kwa kusema tu milele kilichofuata?Sio mbaya..ila amejiandaa vipi siku akiondoka ghafla..atawaacha waruanda katika hali gani?
Ww Mshana utatafutwa na RPF?Ukiona hivyo ujue anakaribia kufa.. Hizo huwa ni dalili za kifo... Akiishi sana ni miaka miwili toka sasa..!