Kagame: Nipo tayari kuendelea kuongoza Rwanda kwa miaka 20 zaidi

Natambua anatamani kuishi zaidi afanye mengi zaidi.. But ni vema akaanza kuandaa warithi wenye maono kama yake la sivyo Rwanda itarudi ground zero akiondoka

View attachment 2286270
Aisee nilitazama siku ana apisha wale majenerali wa 4 top, ah jamaa ana andaa watutsi wenzake waje waiongoze tena iyo nchi ni kama wa hutu hawana chao in few years to come.
 
Ghadafi hakuponzwa na hilo. Bali ni maono yake kuwa tofauti na maslahi ya Magharibi.

Ila ukiwa na kiongozi mmoja mzalendo na mwenye maono sahihi na utekelezaji mzuri nchi inapiga hatua kubwa sana kuliko kubadilibadili maraisi kila baada ya miaka kumi maana kila Rais anaingia na mtazamo wake mpya.

Kunakuwa hakuna muendelezo.

Ncho zote zilizofanikiwa kufanya mapinduzi ya viwanda na kupiga hatua za maendeleo zimefanya hayo nje ya demokrasia.

Demokrasia hii ya Magharibi na mapinduzi ya kiuchumi ni mafuta na maji. Demokrasia ya kiMagharibi ni anasa ya waliokwishatajirika.
Nchi gani zimefanya hayo maendeleo nje ya demokrasia?

Weka idadi upande huu na upande ule weka zilizofanikiwa ndani ya demokrasia halafu tuone wapi ni nyingi?

Then uniambie kundi lipi linafuraha zaidi ya jingine...na lipi lina corruption index kubwa zaidi ya jingine...na lipi lina heshimu haki za binadamu zaidi ya jingine...na lipi lina mfumo sahihi wa kimahakama ulio bora zaidi ya jingine

Halafu uje uongee ujinga mwingine tuufanyie debunking!
 
Mwanafalsafa, unasamaje kuhusu hawa viongozi.... Angalia miaka ya utawala kwenye mabano

1. Teodora Nguema- Equatorial Guinea (41)
2.Paul Biya- Cameroon (38)
3.Dennis Sassou- Congo Brazaville (36)
4.Yoweri Museveni - Uganda (34)
5. Idriss Deby - Chad (30)
6. Isais Afwerk - Eritrea (27)

Hawa ni baadhi ya viongozi waliokaa muda mrefu madarakani Afrika, Je ni ukosefu wa Uzalendo, na maono sahihi au kuna mengi zaidi ambayo naona hoja yako haikuzingatia. Labda utafafanulie pia kuhusu mapinduzi ya Viwanda, naamini unafahamu mapinduzi ya viwanda yaliyoubadili ulimwengu kati ya 1760 hadi 1840 yalizaliwa katika mifumo gani ya utawala na Demokrasia huko Ulaya na Marekani, nchi ambazo bado zinaongoza kwa karibu kwa kila kitu, na kama ndio zimeweka standard ambazo wengi tunazitumia kupima maendeleo ya binadamu.
Na bado sijakuelewa kabisa unaposema "Demokrasia ya magharibi ni anasa kwa waliotajirika" Hebu tufafanulie kidogo mwanafalsafa.....

Swali zuri.

Hao uliowataja wa Afrika uko sahihi kuwa sio wazalendo. Ni watu ambao wamekosa maono zaidi ya kula bata. akina Nguema wapumbavu sana. Mtoto wa Nguema anapost Instgram kila siku maisha ya anasa anayoishi kwa mauzo ya mafuta ya nchi yake, mpaka wazungu wakakamata baadhi ya mali zake ili utajiri huo urudishwe nchini mwake.

Mifano mizuri ya waliokaa sana lakini walikuwa wazalendo ni Ghaddafi, Kagame na Nyerere. Naamini kwenye sekta ya maendeleo hakuna wa kumpinga kati ya hawa.

Mifano mingine mizuri ni kwenye nchi za Uarabuni zenye wafalme, maamiri na masultani. Kuna muendelezo mkubwa wa maono na mipango ya maendeleo japokuwa wafalme hao wanakula bata lakini kuna kushiba na khivyo kufanya maendeleo kama una uzalendo.

Kuhusu wazungu na wajapani kipindi wanatajirika walitajirika kwa ujambazi wa kutumia silaha. Wazungu walitoka Ulaya na kwenda kuiba ardhi na mali na watu duniani kote kwa mtutu wa bunduki.

Wajapani walifanya vivyo hivyo ukanda wa Asia Mashariki (China, Cambodia, n.k.)

Kipindi wanafanya hayo hawakuwa na demokrasia. Walikuwa na tawala za kidikteta wanazoita "Ufalme"

Marekani ni wazungu wa Ulaya Magharibi. Ni tawi lao na ndo dola kuu iliyoundwa na wazungu wa Ulaya Magharibi so far.

Kwa hiyo Marekani ni muendeleo wa kilichokuwa kinaendelea Ulaya. Suala la "Uhuru wa Marekani kutoka Uingereza" halina maana sana. Waliopata uhuru ni wazungu walewale wa Ulaya Magharibi wakiwa na utajiri ule ule wa Ulaya.

Na wao pia baada ya Uhuru walieendesha nchi kwa miaka mingi kama oligarchy. Yaani siasa ilikuwa mikononi mwa wachache ambao ni wanaume wazungu wanaomiliki ardhi.

Ni mfumo waliorithi kutoka Ulaya kwenye Unyarubanja wa Ulaya (mambo ya Landed Gentry ambao ndo walikuwa wabunge wa House of Lords yaani washirika wa Mfalme katika kuendesha nchi.) Ufalme wa Uingereza ulianzishwa kwa William The Conqueror kupita eneo hadi eneo akifanya mapatano na wamiliki wa ardhi wamuunge mkono kwa kuweka ardhi zao chini ya utawala wa mfalme mmoja. Waliokubali kwa hiyari ikawa poa, walioleta ubishi ikawa vita.

Mbinu ile ile aliyotumia Karl Peters katika kutengeneza himaya ya Deustche Ost Afrika (Tanganyika + Ruanda-Urundi).

Back to Marekani...

Kwa hiyo kwa kuwapa haki ya kupiga kura na kugombea wazungu wenye ardhi ni chini ya 30% tu ya Wamarekani ndo walikuwa wanaendesha nchi.

50% (wanawake wa kizungu tu) waliruhusiwa kupiga kura na kugombea mwaka 1920 wakati nchi ishaendelea tayari.

Weusi hawakuwa na haki za maana mpaka mwaka 1965 wakati nchi ishapiga hatua kubwa zaidi. Kwenye historia wanasema weusi walikuwa na haki toka 1870 lakini sote tunajua nini kilichokuwa kinaendelea. Ni wanaume wachache sana weuzi na kwenye majimbo machache ambao walikuwa wanamiliki ardhi ndo waliweza kufaidi haki hiyo.

Weusi wengi waliendelea kuteseka chini ya sheria za weusi (Black Codes) ambazo ziliwekwa baada ya vita ya wenyewe kwa wenyewe ya kukomesha utumwa wa weusi ili kuendelea kuwakandamiza kwa mujibu wa sheria.

Kwa hiyo utagundua kuwa Marekani demokrasia wanayoisifia sana sasa hivi wameianza juzi juzi tu baada ya kuwa wameshajenga nchi.

Kabla ya hapo walikuwa na qualified democracy. Yaani meritocracy kama wanayotumia China sasa hivi na ambayo inawasaidia sana kupiga hatua kubwa za kiuchumi.

Hata Singapore mapinduzi aliyofanya Lee Kuan Yew aliyafanya akiwa katika utawala wa kidikteta kama wa Nyerere. Hakutaka vyama vingi wakati huo alipokuwa anachukua maamuzi magumu ya kuiweka Singapore katika mstari.

Mfano Singapore haina ardhi. Ukubwa wa Singapore ni nusu ya ukubwa wa mkoa wa Dar es Salaam. Kwa hiyo mipango miji lilikuwa jambo la muhimu sana kulisimamia. Lee Kuan Yew alichoma moto makazi ya watu ambao hawakutaka kuhama kwa hiyari kwenye vijumba vyao ili kuachia maeneo serikali ijenge vizuri na kwa mpangilio.

Demokrasia ya Magharibi ni silaha ya wazungu

Wazungu wanaelewa madhara ya demokrasia kwa nchi ambayo bado haijasimama vizuri kiuchumi. Ndo maana wanailazimisha sana itumike kwenye makoloni yao yote ya zamani.

Demokrasia inatengeneza mwanya kwa mzungu (ambaye ukoloni haujatoka kwenye damu yake) kuwavuruga watu ili achukue rasilimali zao.

Libya alifanya hivyo. aliwarubuni wapinzani kuharibu nchi yao wenyewe.

Hata hapa Tanzania kama Mmarekani akipata ni anamuita Mbowe tu anamvimbisha kichwa na kumuomba alete vijana Marekani au nchi jirani kibaraka wa Marekani wanapigwa brashi ya kijeshi na wanapewa silaha na sapoti ya jeshi la Marekani kupindua serikali.

Unadhani Mbowe atakataa mpango kama huo?

Hiyo ndo faida ya demokrasia kwa mzungu.

Kwetu haina faida. Changamoto ni tupate kiongozi mwenye akili nzuri, mwenye ujasiri wa kusimamia maslahi ya Tanzania na maslahi ya Afrika.

Na muhimu zaidi awe ni kiongozi asiyenunulika au kutishika. Mtu yeyote mwenye mali au akaunti nje ya nchi hafai kuwa Rais au mteule wa Rais au kuwa katika serikali ya Tanzania. Ukishakuwa na mali kwenye nchi za Mzungu huna ujanja. Ni amekushika pumbu, ukimdindia anakamata mali zako.

India inasifiwa kuwa ni Biggest Democracy in the world kutokana na kufuata demokrasia ya Magharibi huku ikiwa na wananchi bilioni 1.3.

Lakini uchumi wa China ni mara 7 ya uchumi wa India. India na China wana population inayokaribiana, ila China ina ardhi kidogo inayofaa kwa kuishi (sehemu kubwa ni jangwa), lakini China imeipikua India kiuchumi.

China ni meritocracy. Wana qualified democrasy ndo maana wameweza kufanya mapinduzi makubwa ya kiuchumi kuliko India.

India vyama na kiongozi mkuu anabadilika na kuja ya yake kila baada ya muda fulani. China wana party supremacy na kura za wananchi wote zinapigwa kuchagua viongozi wa ngazi za chini kabisa. Kutoka hapo unapanda vyeo kwa utendaji wako na sio kwa popularity contest ya uchaguzi mkuu.

Tatizo kubwa la demokrasia ya magharibi ambayo sisi hata Tanzania tunaifuata ni kwamba:

1. Kigezo cha kuchagua kiongozi wa nchi ni uwe na miaka 18. Huu ni upuuzi mkubwa. Kuwa na miaka 18 sio kigezo cha kwamba unaelewa issues na unaweza ukafanya maamuzi ya kuchagua viongozi wakuu wa nchi, maamuzi ambayo yanaathiri hatma ya nchi.

2. Kigezo cha kuchaguliwa pia ni umri fulani na uwezo wa kusoma na kuandika tu. Huo nao ni upuuzi mkubwa.
 
Nchi gani zimefanya hayo maendeleo nje ya demokrasia?

Weka idadi upande huu na upande ule weka zilizofanikiwa ndani ya demokrasia halafu tuone wapi ni nyingi?

Then uniambie kundi lipi linafuraha zaidi ya jingine...na lipi lina corruption index kubwa zaidi ya jingine...na lipi lina heshimu haki za binadamu zaidi ya jingine...na lipi lina mfumo sahihi wa kimahakama ulio bora zaidi ya jingine

Halafu uje uongee ujinga mwingine tuufanyie debunking!
Singapore
 
So so deep.Kudos
 
Ilikuwa kama pepo? Ulishafika Libya au ni hadithi za mitandaoni? Hakuna kitu kama hicho duniani kote.
Katika viongozi wa kipuuzi Gadhafi na yeye yupo.
Kumbuka hiyo nchi ni ya wana Libya na siyo yake na watoto wake. Kwa ujinga wake alikuwa anaandaa watoto wake wawe warithi.
Kitu chochote kikiitwa yetu siyo yako ni sawa na wewe ujenge nyumba kwenye kiwanja cha wazazi wako halafu useme chako. Unafikiri kaka zako, dada zako na wadogo zako watakubali?
Gadhafi mpuuzi tu " aliingia kwa mapinduzi na yeye ametolewa kwa mapinduzi"
Ishu ya gadaffi Ni tofauti hapo, gadafi alio goza kwa mafanikio ya juu kila kitu nilikuwa free bse alizuia unyonywaji, Libya ilikuwa Kama pepo, kwanini usitolee mfano Mugabe ,tumia akili
Mtu anaambiwa tuachie nchi yetu. Ameng'ang'ania tu kama alipewa urithi na baba yake.
Libya ni ya wana Libya na mtu yoyote mwenye sifa anaongoza na siyo Gadhafi pekee na watoto wake
 
Ilikuwa kama pepo? Ulishafika Libya au ni hadithi za mitandaoni? Hakuna kitu kama hicho duniani kote.
Katika viongozi wa kipuuzi Gadhafi na yeye yupo.
Kumbuka hiyo nchi ni ya wana Libya na siyo yake na watoto wake. Kwa ujinga wake alikuwa anaandaa watoto wake wawe warithi.
Kitu chochote kikiitwa yetu siyo yako ni sawa na wewe ujenge nyumba kwenye kiwanja cha wazazi wako halafu useme chako. Unafikiri kaka zako, dada zako na wadogo zako watakubali?
Gadhafi mpuuzi tu " aliingia kwa mapinduzi na yeye ametolewa kwa mapinduzi"

Mtu anaambiwa tuachie nchi yetu. Ameng'ang'ania tu kama alipewa urithi na baba yake.
Libya ni ya wana Libya na mtu yoyote mwenye sifa anaongoza na siyo Gadhafi pekee na watoto wake
Na uzuri kwa Sasa nchi hio imeachwa mikononi kwa Wana Libya wakienjoy demokrasia ya kimarekani,na kupitia demokrasia hio Sasa hivi Libya Ina amani Sana,utajiri na maendeleo kuliko kipindi Cha Dictator Ghadafi 😄😄😄

Demokrasia oyeeeeeeeeee.
 
Acha wafaidi nchi yao. Wewe ulitaka aendelee kujirithisha na watoto wake?
Kwani Gadhafi alipewa urithi Libya na baba yake?

[emoji1][emoji1] mbele ya US hakuna nchi iliyoko huru,tumeona Hilo kwny hii Vita ya ukraine.Nchi zote za NATO+EU+Nyinginezo Kama Japan zimeburuzwa na US na wamefuata kile US wanachotaka.

Tofauti ya wenzetu na sisi Ni Kwamba wao wanaburuzwa hivyo hivyo na maendeleo wanayaona Ila Africa tunaburuzwa na maendeleo hakuna.

Una mtazamo rahisi sana wa geopolitics. Very simplistic. US haina hiyo jeuri ya “kuburuza” kila nchi inavyotaka. That’s overrated. Sio kila nchi ina akili za kimaskini kama zetu.

Nchi kubwa nazo zina maslahi zinayoyataka huko US. Hata China na Urusi kuna vitu vyao huko US. Hakuna urafiki au uadui kamili. Hivyo ni suala la “horse trading”; nipe, nikupe. Rais wa US mwenyewe anaenda Saudi Arabia kubembeleza mafuta baada ya kumtolea kauli mbovu crown prince MBS hapo majuzi.
 
Ni kweli, hata EU hawapo tayari kususia gesi ya Urusi japo wameiwekea vikwazo maeneo mengine.
 
Acha wafaidi nchi yao. Wewe ulitaka aendelee kujirithisha na watoto wake?
Kwani Gadhafi alipewa urithi Libya na baba yake?
[emoji1][emoji1] hakika mkuu sasa walibya wanaenjoy mno chini ya demokrasia ya Dictator.Ghadafi alikua wa hivyo Sana yeye na watoto wake [emoji1][emoji1][emoji1]

THE LIBYAN SLAVE TRADE HAS SHOCKED THE WORLD. HERE’S WHAT YOU SHOULD KNOW

BY CASEY QUACKENBUSH

DECEMBER 1, 2017 3:58 AM EST

Avideo of men appearing to be sold at auction in Libya for $400 has shocked the world and focused international attention on the exploitation of migrants and refugees the north African country.

The footage and subsequent investigation conducted by CNN last month has rallied European and African leaders to take action to stop the abuses. On Wednesday, the leaders of Libya, France, Germany, Chad and Niger and four other countries agreed on a plan to evacuate thousands of migrants stuck in Libyan detention camps.

The grainy undercover video appears to show smugglers selling off a dozen men outside of the capital city Tripoli.

“Does anybody need a digger? This is a digger, a big strong man, he’ll dig,” said an auctioneer, according to CNN. “What am I bid, what am I bid?”

The report has drawn attention to an issue that aid and migrant groups say has gone on for years.

Why is there a slave trade in Libya?

Libya is the main transit point for refugees and migrants trying to reach Europe by sea. In each of the last three years, 150,000 people have made the dangerous crossing across the Mediterranean Sea from Libya. For four years in a row, 3,000 refugees have died while attempting the journey, according to figures from the International Organization for Migration (IOM), the U.N.’s migration agency.

The Libyan Coast Guard — supported with funds and resources from the E.U. and more specifically, Italy — has cracked down on boats smuggling refugees and migrants to Europe. With estimates of 400,000 to almost one million people now bottled up Libya, detention centers are overrun and there are mounting reports of robbery, rape, and murder among migrants, according to a September report by the U.N. human rights agency. Conditions in the centers have been described as “horrific,” and among other abuses, migrants are vulnerable to being sold off as laborers in slave auctions.

“It’s a total extortion machine,” Lenard Doyle, Director of Media and Communications for the IOM in Geneva tells TIME. “Fueled by the absolute rush of migrants through Libya thinking they can get out of poverty, following a dream that doesn’t exist.”

The IOM said in April that it had documented reports of “slave markets” along the migrant routes in North Africa “tormenting hundreds of young African men bound for Libya.”

“There they become commodities to be bought, sold and discarded when they have no more value,” Doyle said in the April statement.

[https://api]

Illegal immigrants are seen at a detention centre in Zawiyah, 45 kilometres west of the Libyan capital Tripoli, on June 17, 2017.

Taha Jawashi—AFP/Getty Images

How is Libya handling the crisis?

According to CNN, the U.N.-backed Libyan government has launched a formal investigation into the allegations. But Libya is largely considered a failed state. Since Muammar Gaddafi, who ran the country for four decades, was ousted in 2011, the country has descended into civil war. A transitional government failed to implement rule of law in the country, which has splintered into several factions of militias, tribes, and gangs. In lawless Libya, many see the slave trade and smuggling as a lucrative industry. Tackling the country’s humanitarian crisis will require international assistance.

On Wednesday, Libya reached a deal with E.U. and African leaders to allow the emergency repatriation of refugees and migrants facing abuse in its detention centers. The government also agreed to open a transit center for vulnerable refugees after months of negotiations, according to Reuters. The center is intended to safely house people before they are resettled or sent to a third country.

How is the international community responding?

Following the publication of the video, there was outcry from all corners of the globe, with some nations recalling their ambassadors from Libya. Protesters rallied outside Libyan embassies across Africa and in Europe.

On Wednesday, African and European leaders met at a summit in the Ivory Coast and agreed on an urgent evacuation plan that would see about 15,000 people flown out of Libya. Most of the migrants will be sent back to their home countries. Speaking at the summit, French President Emmanuel Macron, called the abuse “a crime against humanity” and vowed the summit members would “launch concrete military and policing action on the ground to dismantle those networks,” according to the Guardian. The deal also included initiatives to target traffickers, including setting up a task force to dismantle trafficking networks, the BBC reports.

Nigerian President Muhammadu Buhari expressed shock at how his compatriots were being treated “like goats.” On Wednesday, 242 Nigerian migrants were flown out of Libya back to Nigeria.

The day before, the U.N. Security Council held an emergency meeting and said it would be “stepping up its work” to stop the abuses. However, the U.N refugee agency said it faces “dramatic” funding gaps, especially for its operations in sub-Saharan Africa. “Slavery and other such egregious abuses of human rights have no place in the 21st century,” U.N. Secretary-General António Guterres said.

Since 2015, the IOM has repatriated 13,000 people from Libya under a voluntary program. But Doyle, the IOM spokesperson, says more needs to be done to stop migration at its core, particularly from tech companies who own online platforms where traffickers can falsely lure people into paying smugglers.

“They’re being completely misled into thinking that’s a happy future for them and being misled thorough social media,” he tells TIME.

Earlier this week, the foreign ministry of Rwanda said it would extend asylum to 30,000 mainly sub-Saharan Africans stuck in Libya. “Given our own history … we cannot remain silent when human beings are being mistreated and auctioned off like cattle,” the foreign ministry said.

U.S. Ambassador to the U.N. Nikki Haley condemned the abuses, saying: “To see the pictures of these men being treated like cattle, and to hear the auctioneer describe them as, quote, ‘big strong boys for farm work,’ should shock the conscience of us all.”

“There are few greater violations of human rights and human dignity than this.”
 
Una mtazamo rahisi sana wa geopolitics. Very simplistic. US haina hiyo jeuri ya “kuburuza” kila nchi inavyotaka. That’s overrated. Sio kila nchi ina akili za kimaskini kama zetu.

Nchi kubwa nazo zina maslahi zinayoyataka huko US. Hata China na Urusi kuna vitu vyao huko US. Hakuna urafiki au uadui kamili. Hivyo ni suala la “horse trading”; nipe, nikupe. Rais wa US mwenyewe anaenda Saudi Arabia kubembeleza mafuta baada ya kumtolea kauli mbovu crown prince MBS hapo majuzi.
[emoji1][emoji1] motivational speakers bana.

"To be an enemy of America can be dangerous, but to be a friend is fatal.” — Henry Kissinger
 
Back
Top Bottom