Kagame: Nipo tayari kuendelea kuongoza Rwanda kwa miaka 20 zaidi

Kagame: Nipo tayari kuendelea kuongoza Rwanda kwa miaka 20 zaidi

Tokea mtt wa malkia amekuja hapo anatoa kauli za kishujaa tu atakuwa amepewa go ahead na wakubwa waliopo nyuma yake...
Just thinking [emoji848][emoji848][emoji848]
[emoji1][emoji1] Labda mmeanza kumfuatilia Majuzi juzi, hizo ndio hua kauli zake.

Niliona video yake ya mwaka 1996 akiwa bado kachalii sana akisema Jana Zaire(ikiwa chini ya Mobutu) wameshinda wanarusha makombora Yao ndani ya Rwanda,Hilo Ni kosa kubwa wamefanya na lazima walipie(hapo alikua Ni Waziri wa ulinzi na makamu wa rais).Baada ya hapo akapanda ndege akaenda USA,alivyorudi kilichofuata hapo Ni 1st Congo war(iliyokuja kumuondoa Mobutu).
 
Ghadafi hakuponzwa na hilo. Bali ni maono yake kuwa tofauti na maslahi ya Magharibi.

Ila ukiwa na kiongozi mmoja mzalendo na mwenye maono sahihi na utekelezaji mzuri nchi inapiga hatua kubwa sana kuliko kubadilibadili maraisi kila baada ya miaka kumi maana kila Rais anaingia na mtazamo wake mpya.

Kunakuwa hakuna muendelezo.

Ncho zote zilizofanikiwa kufanya mapinduzi ya viwanda na kupiga hatua za maendeleo zimefanya hayo nje ya demokrasia.

Demokrasia hii ya Magharibi na mapinduzi ya kiuchumi ni mafuta na maji. Demokrasia ya kiMagharibi ni anasa ya waliokwishatajirika.
Lee Kuan Yew Ni mfano mzuri wa usemacho.
 
[emoji1][emoji1] Labda mmeanza kumfuatilia Majuzi juzi, hizo ndio hua kauli zake.

Niliona video yake ya mwaka 1996 akiwa bado kachalii sana akisema Jana Zaire(ikiwa chini ya Mobutu) wameshinda wanarusha makombora Yao ndani ya Rwanda,Hilo Ni kosa kubwa wamefanya na lazima walipie(hapo alikua Ni Waziri wa ulinzi na makamu wa rais).Baada ya hapo akapanda ndege akaenda USA,alivyorudi kilichofuata hapo Ni 1st Congo war(iliyokuja kumuondoa Mobutu).
Hiyo trip kwend usa ilikuwa kuomba muongozo sio 😀😀😀
 
Cheki Hilo Ni gazeti la Washington Post la mwaka 1994 likiripoti.Humo ndani kajamaa kanasema yaani kuivuruga Congo ni kitu kirahisi tu wkt kenyewe ndio kalikua kametoka vitani,uchumi mbovu na Congo yenyewe Ni kubwa Mara 90 ya nchi take na ilikua chini ya mbabe Mobutu.So point yangu ilikua kauli za hivi jamaa anazitoaga miaka yote tu.View attachment 2286272View attachment 2286273View attachment 2286274View attachment 2286275View attachment 2286277
👍👍👍
 
Na wanajisifu nchi ziko huru [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Maendeleo nchi za afrika tusahau
[emoji1][emoji1] mbele ya US hakuna nchi iliyoko huru,tumeona Hilo kwny hii Vita ya ukraine.Nchi zote za NATO+EU+Nyinginezo Kama Japan zimeburuzwa na US na wamefuata kile US wanachotaka.

Tofauti ya wenzetu na sisi Ni Kwamba wao wanaburuzwa hivyo hivyo na maendeleo wanayaona Ila Africa tunaburuzwa na maendeleo hakuna.
 
Sisi wanatuonea kwakuwa hatuna uwezo wa kuwafanya chochote
 
Back
Top Bottom