Ghadafi hakuponzwa na hilo. Bali ni maono yake kuwa tofauti na maslahi ya Magharibi.
Ila ukiwa na kiongozi mmoja mzalendo na mwenye maono sahihi na utekelezaji mzuri nchi inapiga hatua kubwa sana kuliko kubadilibadili maraisi kila baada ya miaka kumi maana kila Rais anaingia na mtazamo wake mpya.
Kunakuwa hakuna muendelezo.
Ncho zote zilizofanikiwa kufanya mapinduzi ya viwanda na kupiga hatua za maendeleo zimefanya hayo nje ya demokrasia.
Demokrasia hii ya Magharibi na mapinduzi ya kiuchumi ni mafuta na maji. Demokrasia ya kiMagharibi ni anasa ya waliokwishatajirika.