Kagame: Tupo Tayari kumpiga Tshisekedi

Kagame hawezi vita. Hakuna nchi inaeeza vita hasta Tanzania. War is expensive and has devastating effects
 
Hawezi Kongo Ina population ambayo ni five times ya Rwanda,ni ngumu sana
Mkuu, population inahusiana nini na Ushindi Katika Vita?

Kuwa na Jeshi kubwa na idadi kubwa ya watu haikupi guarantee ya Ushindi!

Japokuwa siwapendi wazayuni,lakini pamoja na udogo wao walizishinda Egypt,Jordan na Syria kwenye Vita ya siku 6 tu!

Hii kauli yake sio ya kupuuzwa.

Jeshi lao liko modern sana, mpaka wanaongea hivyo jua wamejipanga!

Ukiona Kobe yupo juu ya Mti ujue Kapandishwa huyo...!

Watu wako MACHO.
 
Kwamba haina nguvu? Jichanganye. Ukweli kuna mambo ya ajabu,na huko kutambiana vita kunaathiri raia wa kawaida si viongozi.
 
Nyoko waasi gani wa Msumbiji walinywea mwezako yuko Msumbiji kulinda eneo wanalochimba mafuta mfaransa sio unalopoka lopoka tu
 
Akithubutu tu atakuta watu wapo Kigali kitambo. Ngoja aendelee kujiaminisha kuwa ana Jeshi imara.
Hiyo nadharia aliyoiongea ndiyo mtego aliotegewa, ngoja auingie
 
Pia Rwanda nchi dogo sana ni kama mkoa wa Mwanza
 
Kwamba haina nguvu? Jichanganye. Ukweli kuna mambo ya ajabu,na huko kutambiana vita kunaathiri raia wa kawaida si viongozi.
Nijichanganye wapi? Au unakaririshwa stori za vijiweni?
 
Museveni kamtoa Obote, rafiki wa Nyerere, huo msaada wa Tanzania kautoa wapi wakati miaka 80 nchi ilikuwa inapumulia machine.
Kagame alikuwa Chief Military Intelligence wa Museveni kuanzia msituni mpaka ndani ya serikali yake .
Walipigana wakitokea nchi gani?
 
Kwa East,central and southern Africa Rwanda ndie super power kwa sasa.

So anachosema Mr Paul habaatishi bali anamaanisha.

Nguvu na uwezo wa Rwanda kijeshi kwa sasa ukanda huu hakuna wa kumfikia!

Takwimu za uwanja wa mapmbno ambako RDF anashiriki zinajieleza wazi.

Huwezi kubeza nguvu ya jeshi kwa kigezo cha udogo wa nchi.

Chukulia mfano tu wa DRC. Rwanda ndie mwenye maamuzi ya nini kiendelee DRC , kwa muda gani na wkati gani
 
Vita ya Africa is all about number.



🤣 🤣 Asilewe sifa za kufananishwa na Israel.

Israel ana mabomu karibu 90 ya Nyuklia akiona vita inakuwa ngumu anatumia 1 Moja vita inaisha
 
Huyu Kagame anaongea nini sasa?

Hivi anadhani kuna mtu hajui kwamba muda wote amekuwa vitani na DRC?

Anadhani kuna mtu hajui kuwa yeye ndio M23?

A 'fight' DRC mara ngapi?

Yule mzee naona anazeeka sasa!
 
Israel ana mabomu karibu 90 ya Nyuklia akiona vita inakuwa ngumu anatumia 1 Moja vita inaisha
Aisee
mafundisho ya hawa mitume wa kilokole yanatakiwa kufungiwa kama Kagame alivyofanya, kama huna digrii ya upupu wa theologia hakuruhusu ufungue kanisa, sio huku bongo ndio kina mtume mwamposa wanawapembela na hizi intel za israel ambazo hata netanyau wamemficha.
 
Hako kapuuzi huwa kanajiona kenyewe kako juu ya kila kitu. Kisa tu kanatumiwa na Mabeberu kusababisha ukosefu wa amani huko Congo, ili raslimali ziporwe.
lakini wa ukae DRC si iko na machafuko toka PK anajikojolea kwenye nepi. DRC inavurugwa na watu wake wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…