Rwanda inaendesha uchumi wake kwa malighafi kutoka DRC.Huyu Kagame anaongea nini sasa?
Hivi anadhani kuna mtu hajui kwamba muda wote amekuwa vitani na DRC?
Anadhani kuna mtu hajui kuwa yeye ndio M23?
A 'fight' DRC mara ngapi?
Yule mzee naona anazeeka sasa!
Sio bure,kuna mtu nyuma yake!Yaani rwanda iipige dr congo, kagame yuko serious au anatania?
Israel hana ubavu wa kupigana hata na nchi moja ya kiarabu pasipo msaada wa mashosti zake Marekani na Ulaya.Vita siyo ukubwa wa nchi, vita ni intelejensia, kama jeshi la DRC wameshindwa kutokomeza waasi wa M23 ndo wataweza kumpiga Rwanda? Leo Israel yenye eneo kama mkoa wa Kilimanjaro inawajambisha mataifa ya kiarabu makubwa na yenye population kubwa. Vita ni mbinu, ubora wa jeshi na uzalendo, silaha, tumeona jeshi la Rwandan walivyoingia Mozambique waasi walinywea
Na hao watusi wa Congo wakubali kuwajibika kwa serekali ya Congo na si ya RwandaKagame Yuko sahihi
Kongo ikubali watusi Walioko Kongo kama raia wao
Mambo ya kuwabagua hawatendei haki
SahihiNa hao watusi wa Congo wakubali kuwajibika kwa serekali ya Congo na si ya Rwanda
Nadhani Obote amepMuseveni kamtoa Obote, rafiki wa Nyerere, huo msaada wa Tanzania kautoa wapi wakati miaka 80 nchi ilikuwa inapumulia machine.
Kagame alikuwa Chief Military Intelligence wa Museveni kuanzia msituni mpaka ndani ya serikali yake .
Viwanda vya Silaha marekani ni vya waisraelIsrael hana ubavu wa kupigana hata na nchi moja ya kiarabu pasipo msaada wa mashosti zake Marekani na Ulaya.
Kumbuka Israel ipo hapo mashariki ya kati kimkakati ili kulinda maslahi ya wazungu na sio kwamba eti wana nguvu yoyote kijeshi.
Museven kaishi Kagera,tabora,horohoro wakati wa harakati zake,japo aliwahi ingia lupango tz baada ya kutofautiana na obote,obote hakuja kwenye msiba wa Nyerere, meaning walitofautiana, Nyerere bawa lake liliegemea zaidi kwa musevenMuseveni kamtoa Obote, rafiki wa Nyerere, huo msaada wa Tanzania kautoa wapi wakati miaka 80 nchi ilikuwa inapumulia machine.
Kagame alikuwa Chief Military Intelligence wa Museveni kuanzia msituni mpaka ndani ya serikali yake .
Inavurugwa na mabeberulakini wa ukae DRC si iko na machafuko toka PK anajikojolea kwenye nepi. DRC inavurugwa na watu wake wenyewe.
Kuna binaisa na lule washawahi kuwa Marais hapo Uganda kabla ya musevenNadhani Obote amep
induliwa na Okello, Okello nae ndio alipinduliwa na Museveni.
Ukitaka kujua Kwa undani mambo ya Uganda sikiliza mtanzania mwenzetu huyu akichambuaNadhani Obote amep
induliwa na Okello, Okello nae ndio alipinduliwa na Museveni.