Kagame: Wanaoiba Madini ya Congo ni Afrika Kusini na Wazungu wa Ulaya, sio Rwanda

The Assassin

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Posts
4,942
Reaction score
20,077
Kwenye interview ya CNN leo tarehe 3, Rais wa Rwanda amesema yeye haibi madini Congo, wezi wakubwa wa madini ya Congo ni Afrika Kusini na Wazungu wa Ulaya.

Kagame anasema haibi madini ya Congo, anayo madini yake anachimba Rwanda.
=================
President Paul Kagame says he doesn't know if there are Rwandan troops in eastern DRC supporting M23, but says Rwanda "would do anything to protect itself."He accused South Africa of sending troops there to secure minerals & dismissed any comparisons with Vladimir Putin

Msikilize.
 
Wanaanza kurushiana mpira
 
Hio kauli yake anaposema hafahamu kama RDF wapo Congo imetia shaka juu ya yote anayozungumza.
Kama anasema hajui kama kama askari wake wapo DRC ama la, je tuamini anachosema kwamba yeye si mwizi wa mali asili za DRC?
 
1738633963364.png
KASHINAGA!
 
Kwenye interview ya CNN leo tarehe 3, Rais wa Rwanda amesema yeye haibi madini Congo, wezi wakubwa wa madini ya Congo ni Afrika Kusini na Wazungu wa Ulaya.

Kagame anasema haibi madini ya Congo, anayo madini yake anachimba Rwanda.
=================
President Paul Kagame says he doesn't know if there are Rwandan troops in eastern DRC supporting M23, but says Rwanda "would do anything to protect itself."He accused South Africa of sending troops there to secure minerals & dismissed any comparisons with Vladimir Putin

Msikilize.
Huyu ni wa kuchapa tu! Sijui kwa nini wanamlea! Yeye hayo madini anayosafirisha nje anayatoa wapi?
 
Askari unaenda kupigania madini ya Congo ambayo hata huyapati na unafia huko. Askari wengi wanakufa bure tu kwa kutumiwa na watu wenye tamaa zao.

Hapa duniani ukishakuwa na madini au mafuta kamwe hautakuwa na amani. Sio wazungu sio jirani zako kila mmoja anakodolea macho hayo madini
 
Back
Top Bottom