Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Nchi za Emirates zina mafuta.Askari unaenda kupigania madini ya Congo ambayo hata huyapati na unafia huko. Askari wengi wanakufa bure tu kwa kutumiwa na watu wenye tamaa zao.
Hapa duniani ukishakuwa na madini au mafuta kamwe hautakuwa na amani. Sio wazungu sio jirani zako kila mmoja anakodolea macho hayo madini
Hazina amani?