The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Wanaanza kurushiana mpiraKwenye interview ya CNN leo tarehe 3, Rais wa Rwanda amesema yeye haibi madini Congo, wezi wakubwa wa madini ya Congo ni Afrika Kusini na Wazungu wa Ulaya.
Kagame anasema haibi madini ya Congo, anayo madini yake anachimba Rwanda.
=================
President Paul Kagame says he doesn't know if there are Rwandan troops in eastern DRC supporting M23, but says Rwanda "would do anything to protect itself."He accused South Africa of sending troops there to secure minerals & dismissed any comparisons with Vladimir Putin
Msikilize.
Uyu jamaa anatakiwa kupigwa tu anajiona anakili kuzidi woteKagame anaona Dunia nzima mwenye akili ni yeye tu
Malema ni Kubwa JingaMalema naye kadai kagame apigwe tu
Ngoja tuone
Huyu ni wa kuchapa tu! Sijui kwa nini wanamlea! Yeye hayo madini anayosafirisha nje anayatoa wapi?Kwenye interview ya CNN leo tarehe 3, Rais wa Rwanda amesema yeye haibi madini Congo, wezi wakubwa wa madini ya Congo ni Afrika Kusini na Wazungu wa Ulaya.