Kagame: Wanaoiba Madini ya Congo ni Afrika Kusini na Wazungu wa Ulaya, sio Rwanda

Nchi za Emirates zina mafuta.

Hazina amani?
 
Hio kauli yake anaposema hafahamu kama RDF wapo Congo imetia shaka juu ya yote anayozungumza.
Kama anasema hajui kama kama askari wake wapo DRC ama la, je tuamini anachosema kwamba yeye si mwizi wa mali asili za DRC?
Pia hajuwi kama yeye ni mwizi wa madini ya Congo au la.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…