Kagera 0-2 Simba | VPL | Kaitaba Stadium - April 21, 2021

Kagera 0-2 Simba | VPL | Kaitaba Stadium - April 21, 2021

Hayawihayawi yamekuwa

Usiyemtaka karudi kwa kasi

Baada ya lawama nyingi kutoka kwa washabiki kwa kukosa kufunga magoli ya wazi kabisa hatimaye leo Mchezaji Mugalu aneifungi Simba bao la 2 dhidi ya Kagera Sugar

Mechi inaendelea
 
Wazee nina hakika msimu huu simba bingwa VPL,Azam vonfideration Cup na CAf champioms league...hamtaamini lakini huo ndo ukweli....


Kazi imebaki kuwazuia vizee vile akina Bi Hindu na Kilomoni kuleta siasa zao za kipuuzi.
 
 
Back
Top Bottom