Kagera 0-2 Simba | VPL | Kaitaba Stadium - April 21, 2021

Kagera 0-2 Simba | VPL | Kaitaba Stadium - April 21, 2021

45+2' kuelekea kuwa mapumziko uwanja wa Kaitaba.

Naaaam mpira ni mapumziko ambapo Simba SC wapo mbele kwa mabao mawili kwa bila dhidi ya Kagera Sugar

HT, VPL; Kagera Sugar 0-2 Simba SC
 
Back
Top Bottom