Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Yanga watafakari tena kuingiza timu tarehe 8Nawasalimu kwa jina Simba, na wote tusema magoli mazuri ya kideo yaendelee, ushidi ushidi uendelee, nguvu moja na wangine waseme biryani minyama nyama sambusa ziendelee.
Uzalendo mkuuKumbe na wewe Simba
Hahahaha hahahaha ni hatari mzee na biryani liendeeeHaaaaa haaaa pira la nchi gani hili.
Mtu anapigwa katerero hapa ukweni
Umeamua kunianika mitandaoni kabisa!Yan Simba inanipa raha kuliko hata baba chanja
Anakuona mwenyeweYaani Simba inanipa raha kuliko hata baba chanja
Hata sijuiHivi "Uto" pale kileleni wanapisha lini?