Kagera: Amuua Mama yake mzazi baada ya Mganga kumwambia apeleke damu ili kuongeza utajiri

Kagera: Amuua Mama yake mzazi baada ya Mganga kumwambia apeleke damu ili kuongeza utajiri

Siku waafrika wakiachana na hawa wapumbavu ndipo watakuwa na maendeleo.
Hao waganga wanashindwa vipi wapa utajiri ndugu zao.
 
Kwa tajiri kuingia kwenye ufalme wa Mungu ni sawa na ngamia kupita kwenye tundu la sindano. Naona huyo mganga ni tapeli, mambo ni kimyakimya, bomu linarushwa dakika sifuri. Ujue vifo vingi sio Mungu kataka ila michezo ya binadamu.
 
Back
Top Bottom