mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Nov 3, 2021 #61 johnthebaptist said: Mnyalu na ndumba wapi na wapi bwashee?! Click to expand... Mh...haya bwasheh Ova
johnthebaptist said: Mnyalu na ndumba wapi na wapi bwashee?! Click to expand... Mh...haya bwasheh Ova
Kalunya JF-Expert Member Joined Oct 5, 2021 Posts 13,322 Reaction score 18,609 Nov 3, 2021 #62 Siku waafrika wakiachana na hawa wapumbavu ndipo watakuwa na maendeleo. Hao waganga wanashindwa vipi wapa utajiri ndugu zao.
Siku waafrika wakiachana na hawa wapumbavu ndipo watakuwa na maendeleo. Hao waganga wanashindwa vipi wapa utajiri ndugu zao.
Joseph lebai JF-Expert Member Joined Jul 19, 2017 Posts 8,452 Reaction score 8,670 Nov 4, 2021 #63 Kwa tajiri kuingia kwenye ufalme wa Mungu ni sawa na ngamia kupita kwenye tundu la sindano. Naona huyo mganga ni tapeli, mambo ni kimyakimya, bomu linarushwa dakika sifuri. Ujue vifo vingi sio Mungu kataka ila michezo ya binadamu.
Kwa tajiri kuingia kwenye ufalme wa Mungu ni sawa na ngamia kupita kwenye tundu la sindano. Naona huyo mganga ni tapeli, mambo ni kimyakimya, bomu linarushwa dakika sifuri. Ujue vifo vingi sio Mungu kataka ila michezo ya binadamu.