Kagera (Bukoba) mahali pa ovyo kuwahi kutembelea

Sina cha kupinga Ila Nina cha kurekebisha
Wahaya wamejenga mikoa Mingine , na si kwamba akina tibaijuka wakiisha basi wasomi ndo wameisha,

Kwa Tathmin ya haraka Kagera Ina zaidi ya wahaya wanaofanya kazi kimataifa wa umri wa 25-40 zaidi ya 100

Ina wanaosoma nje kwa elimu ya Juu zaidi ya wahaya 1500!

Zipo takwimu na makundi Yao


Britanicca
 
Lakini Hadi mheshimiwa chalamila akiwa RC kule aliwahi wachana hii tabia yao ya kupigana spana Hadi kidelay miradi ya maendeleo
 
UKABILA, MAJUNGU, FITNA, UBINAFSI NA CHUKI. Kukuta ofisini watu wanaongea kihaya tu ni kawaida sana.
 
Lakini Hadi mheshimiwa chalamila akiwa RC kule aliwahi wachana hii tabia yao ya kupigana spana Hadi kidelay miradi ya maendeleo
Siyo chalamila tu . Hadi uncle magu alikuwa hawapendi sana hawa jamaa maana walimbagua enzi hizo
 
Yaani hadi takwimu za maendeleo za kitaifa zinauweka mkoa wa Kagera kuwa wa mwisho mwisho, lakini bado wahaya wanabisha mbaya!
Sijui walitaka nani mwingine awaambie?
Mi sio muhaya, takwimu ya mwaka gani? 2018 walikuwa ndani ya top 15.
 
Tatizo kwetu Watz tunapenda sana kukremisha bila kuchambua, mfano : mhaya ni mjuaji na mkabila, mchaga ni mwizi; we are so much addictif to « hear say » than facts! Shame on us!
Wapi hakuna tabia hizo? Mi sio mhaya.

Point yangu ni kuwa zaidi ya asilimia 80 ya watanzania ni watu wa hovyo sana, 15 ni waungwana kwa maana ya tabia tu ila ni wapumbavu. 5% ndio watu smart.

Kwa maana nyingine ukiwa sehemu wameitwa watu mbalimbali ila mchujo, wakiwa 100, jua kuna watu wa hovyo 80. Sema tu ukimya wao na hawako violence inaezakukufanya ujione kama uko na watu wazuri. Na katika hao asilimia 80 ya watu wa hovyo wanaume ni asilimia 70.

Kwa maana nyingine kama mwanaume unataka ku survive sehemu random jenga mahusiano ya kuaminika (sio kimapenzi) na wanawake, hao wanakuwa kama wapelelezi wako.
 
Iwe?
 
Ahaah
Nmecheka kama mazurii
Hiyo statemebt ya misho....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…