Hii ni shida moja lakini shida kubwa zaidi ni hiyo denial state waliyonayo hao wahusika wa huko (wahaya kindakindaki) kuanza kujiunda makundi kupinga hizo facts wanazopewa na wadau hapa.
Kenya kuna ukabila, na inaongoza kwa uchumi m kubwa EA, bajeti ya Kenya, inalisha TZ, UG, Rwanda, Burundi, Congo, na South Sudan!
Unataka kusema Dar, imeendelea kwa vile wenyeji sio wakabila!?
Kuna watu waanssema ohh kagera stend mbovu, usomi mwingi wanashindwa kujenga stend! Nikuulize stend ya msamvu Moro, imejengwa na wenyeji Moro!? Au mipango ya tamisemi kitaifa?! Ulitaka ijemgwe Kigoma, Rukwa?
Maldini mengi yanatoka Kanda ya ziwa, umewahi kufika kakola, ulipo mgodi m kubwa Wa dhahabu!? Bulyankuru, uone kaya za karibu zilivyotopea kwenye ufukara? Unsfikri fedha ya madini inabaki kahama! Inakuja Dar kujenga flyovers! Maendeleo ya kila mkoa, yanapangwa na, serrikali kuu, ndio yenye mapato!TRA ikikusanya kila mkoa, yanapelekwa hazina!
Umewahi, kufika ugweno, upaleni kwa Cleopa msuya? Unafikri zile rami kule milimami zilijengwa na wanachi kwa kulima? Wanasiasa wao walipokuwa madarakani walishinikiza pesa zijenge huko, wakati sio kipaumbele,
Rejea,Baada ya Mpango kuwa makamu, kijiji chake ikapelekwa tingatinga lichonge barabara! Why kwa vile kuna m kubwa anatoka kule,
Sawa, hatuna stend nzuri, Ila tunaongoza kwa wasomi wengi waliotapakaa kila Kona duniani, Nenda Kairuki hospital pale, uone vitu,kemebos shule,
Usisahau Kardinal Wa kwanza Afrika, alikuwa Muhaya, nyie mnaowasema wahaya mna nini! Ancestors wenu wameacha regacy IPI.
Umaskini na Hari ya maisha ilivyo kagera, IPO mikoa mingi tu, Kuanzia songwe,Shinyanga, Tabora, kule isakamaliwa, isagenhe, imalaseko, Nanyumbu, masuguru, Tunduru mpaka liwale, tupo sawa tu