Kagera (Bukoba) mahali pa ovyo kuwahi kutembelea

Wachaga napoona wanawazidi wahaya ni padogo Tu wachaga wanaushirikiano,fursa ikiwepo wanashtuana ndio maana wanafanikiwa ..Mafanikio hayapimwi kwa vitu vikubwa ila vidogo vidogo vinavyozaa vikubwa
Nakumbuka kipindi hicho nahamia kikaz bukoba nyumba za kupanga ni mbovu mbovu sana hazina viwango!

Sasa nikaenda town kununua mahitaji ya vifaa vya usafi nikaangukia kwenye duka la mchaga mmoja kalowea kule sasa alivoona naongea lafudhi sio ya kule akanambia wewe mtu wa wapi nikamwambia..Sasa akaanza kunipa story za wafanyabiashara wenzake wa kihaya pale akasema jamaa wanafitina sana na watu wakuja jamaa anapata tabu sana!
 
Ili uwaelewe ulitakiwa kuingia darasani kujifunza lugha yao, kama ilivyo wageni/wazungu wajapo Tanzania, ulazimika kujifunza kiswahili au lugha ya wanyeji ndipo maisha yataenda vinginevyo utaishia kulalama kama wewe.
 
Majungu na maendeleo wapi na wapi?
Ni kama maji na mafuta, haviwezi kuchanganyika, vikitulia lazima vijitenge.
Wahaya badilikeni sasa, tunawatakia mema. Acheni majungu.
 
Ili uwaelewe ulitakiwa kuingia darasani kujifunza lugha yao, kama ilivyo wageni/wazungu wajapo Tanzania, ulazimika kujifunza kiswahili au lugha ya wanyeji ndipo maisha yataenda vinginevyo utaishia kulalama kama wewe.
hapana wale jamaa wana hulka ambazo sio za kitanzania..wabaguzi, roho mbaya sana..
Nenda siku moja kakae hata miezi 3 tu, utajifunza kitu.
 
Kuna wahaya humu wapo kama mbogo hawataki kuambiwa ukweli.
Ameandika utumbo mtupu, hivi kweli mkoa wa Kagera utaulinganisha na Dodoma? Dodoma miaka 10-20 ijayo hata Mwanza itakuwa haiwezi kukimbiza, Dodoma kwa sasa si mkoa wa kulinganisha na mkoa wowote ule kwa maendeleo.
 
Nakumbuka kipindi hicho nahamia kikaz bukoba nyumba za kupanga ni mbovu mbovu sana hazina viwango!

Sasa nikaenda town kununua mahitaji ya vifaa vya usafi nikaangukia kwenye duka la mchaga mmoja kalowea kule sasa alivoona naongea lafudhi sio ya kule akanambia wewe mtu wa wapi nikamwambia..Sasa akaanza kunipa story za wafanyabiashara wenzake wa kihaya pale akasema jamaa wanafitina sana na watu wakuja jamaa anapata tabu sana!
Yaani anatakiwa atokee mbabe mmoja awanyooshe maana ukiongea kawaida lazima wakubishie
 
ukifika kule wenyewe wanachapa kihaya tu hawajali kama wewe ni mgeni wao yamkini utajisikia vibaya.Wahaya shemeji zangu ila kwajinsi mlivyo na mambo ya hovyo nimechukia wahaya wote hadi dada yenu,sitokubali wanangu warithi ukabila,tabia za hovyo..n.k😂

Watu gani nyie kuvunja undugu kwenu ni jambo la kawaida tu.🙌
Kwani kuna ubaya gani ukijifunza lugha mbalimbali, binafsi nikienda mkoa wowote ule natamani kujua lugha yao, wewe ni mtu wa ajabu sijawahi kuona, na kama haujui maisha ni lugha bila kujua lugha utabakia maskini pasipo na sababu, lugha yoyote ile kuijua ni utajiri, tumia fursa kijana, ila kama haujui namna ya kutajirika na lugha ni ngumu kunielewa, kuna watu ukiwambia unaweza kutajirika kupitia mitandao hakuelewi kabsa, ukimwambia hakuna sababu ya kufungua fremu ya biashara wewe uza kwa mtandao inatosha haelewi, angalia na wewe usijekuwa kama hao.Lugha yoyote ile ukiijua ni fursa.
 
Ukweli mtu kiufupi mkoa mzima uko hivyo,hawana jipya watani zangu wahaya zaidi ya kujivuna tu
 
Yaani hadi takwimu za maendeleo za kitaifa zinauweka mkoa wa Kagera kuwa wa mwisho mwisho, lakini bado wahaya wanabisha mbaya!
Sijui walitaka nani mwingine awaambie?
 
Ameandika utumbo mtupu, hivi kweli mkoa wa Kagera utaulinganisha na Dodoma? Dodoma miaka 10-20 ijayo hata Mwanza itakuwa haiwezi kukimbiza, Dodoma kwa sasa si mkoa wa kulinganisha na mkoa wowote ule kwa maendeleo.
IQ yako ni ndogo sana katika uelewa wa mambo! Tembea uone na ujifunze!
 
Kwani kuna ubaya gani ukijifunza lugha mbalimbali, binafsi nikienda mkoa wowote ule natamani kujua lugha yao, wewe ni mtu wa ajabu sijawahi kuona, na kama haujui maisha ni lugha bila kujua lugha utabakia maskini pasipo na sababu, lugha yoyote ile kuijua ni utajiri, tumia fursa kijana, ila kama haujui namna ya kutajirika na lugha ni ngumu kunielewa, kuna watu ukiwambia unaweza kutajirika kupitia mitandao hakuelewi kabsa, ukimwambia hakuna sababu ya kufungua fremu ya biashara wewe uza kwa mtandao inatosha haelewi, angalia na wewe usijekuwa kama hao.Lugha yoyote ile ukiijua ni fursa.
Una uwezo mdogo sana wa kuchambua mambo! Maelezo yako yanakinzana kabisa na watu wanachomaanisha.!
 
Kwani kuna ubaya gani ukijifunza lugha mbalimbali, binafsi nikienda mkoa wowote ule natamani kujua lugha yao, wewe ni mtu wa ajabu sijawahi kuona, na kama haujui maisha ni lugha bila kujua lugha utabakia maskini pasipo na sababu, lugha yoyote ile kuijua ni utajiri, tumia fursa kijana, ila kama haujui namna ya kutajirika na lugha ni ngumu kunielewa, kuna watu ukiwambia unaweza kutajirika kupitia mitandao hakuelewi kabsa, ukimwambia hakuna sababu ya kufungua fremu ya biashara wewe uza kwa mtandao inatosha haelewi, angalia na wewe usijekuwa kama hao.Lugha yoyote ile ukiijua ni fursa.
Lugha huwa ni moja tu Kiswahili! huo muda wa kujua lugha ya wahaya unaupata wapi? Wenyewe wameshindwa kukua kiuchumi sembuse wewe kujua lugha
 
Nilienda kwa fundi viatu hapo Bk town, akanambia amesoma diploma ya shoeshiner Kampala na akasema hua anahudumia viongozi na matajiri, niliishia kucheka tu
Siyo chumvi kweli hii 🥴🥴🥴🥴
 
Customer care uliyoizoea wewe na nani kilaza wewe. Fuata kilichokupeleka lipia ondoka hiyo asante utaikuta kwa mumeo, mkeo au watoto wako nyumbani huko.

Ebu tupe orodha ya hao wageni wote walioanzisha biashara wakashindwa kilaza wewe. Kama unakwazika na lugha basi huna budi kujifunza ili utimize ule msemo wa kwamba kama huwezi washinda basi ungana nao
We nshomile punguza jaziba
 
Nimeishi Bukoba, niliishi huku lake side, siyo mbali na uwanja wao wa kaitaba, na jirani na kwa mkuu wa mkoa, na airport.

Nimezunguka hako ka mji kote, Kuanzia Huko kashai, kule Lugambwa, huko Custom kwenye daraja, Hamgembe, mbele juu kule polisi kota, kwa ufupi Bukoba nimeenda mara nying kikazi kwenye ofisi ya mkuu wa mkoa.

Hawa watu/binadamu wa mkoa huo wa Kagera ulichokisema ni 500%.

Kuna nyakati zingine nahisi siyo watanzania kabisa.

Majungu, Fitina, Uongo ni mali yao, wengine mnasingiziwa.

Kama alivyosema mwandishi, ule mkoa unamatatizo.

Ka mji kao kabovu, lakini duh nisiseme mengi kuna watu wanaweza kunifahamu.
Madam nishakufaham
 
Hao wahaya unaowasema vibaya, wanapatana vzr na wachaga!akili kubwa, wengi went, mnaoshindwa kuishi na wahaya, ni inferiority complex inawasumbua,mnaenda kagera mkiwa na pre conceived ideas and prejudice zenu!
Muhaya analinga, awe muuza mahindi ya kuchoma, bodaboda, au tajiri,ndio asili Yao, ulitaka wawe mazwazwa ksma watu wa kusini!?
Kuhusu majungu, ni hulka ya kibinadsmu,
Muhaya, Mnyarwanda, mgsnda, mrundi, wana share vitu kibao, Koo, majina,na histolia za kibabe za kutaka kuitwala east Afrika, wa Masai wapo bongo na Kenya, lakini wa bongo wala haiwapi shida kuwa na waziri mkuu mmasai, hivyo hivyo kwa waluo,
Lakini ngoja, itokee kuna mwanafunzi chuo kikuu,ana jina kama la Rwanda, na muonekano(watu wa ngara, karagwe ni kama wanyankore wa Uganda, au Watusi), yatazuka maneno, aah hswa ni maspy wa Kagame! Upuuzi furani tu wa kijinga,
Katika mikoa 26 ya TZ mtu katika mikoa miwili tu kaishi miezi! Anakuambia wenyeji wa mkoa ule washenzi Sana!
Tembea, Namanga mpaka mtambaswala Lindi, nanyumbu, fika tunduru, liwale,kalumwa kahama, mrongo border kagera! Chandama, mrijo juu Kondoa Dom! Ndio ulete msneno
 
Kwa nini stand ya mkoa ni ya vumbi mpaka karne hii.kama siyo un umburura wa wahaya. Kubalini kukosolewa na muache jeuri. Mtu wa pili akikukosoa jua kuna shida mahali huwezi kujikosoa mwenyewe ni Ngumu utajiona sahihi mda wote.
Sasa wahaya na stand ya vumbi wanahusiana vipi? Hakika mnazidi kujionnyesha namna mlivyo maamuma na akili kisoda.
 
Majibu na hasira zako ni ushahidi tosha kwamba mtoa mada yupo Sahihi 100%. Wahaya hata nje ya Bukoba ni vimeo tu
Kama wewe ulivyo kimeo na ndiyo maana mmehama kutoka kwenye mada na badala yake mmeruka kama popcorn na kuanza kujadili makabila. Mbona mnateseka sana na hilo kabila?
 
Back
Top Bottom