Kagera (Bukoba) mahali pa ovyo kuwahi kutembelea

Kagera (Bukoba) mahali pa ovyo kuwahi kutembelea

Washindani wakuu wa maendeleo ya Wahaya na mkoa wa Kagera ni wachaga na mkoa wa Kilimanjaro, sasa kwa namna wachaga wameendelea kuwa mbele mnoo kimaendeleo. Kuanzia Elimu bora, Kipato, Maisha bora na huduma bora za kijamii wachaga na mkoa wao wa Kilimanjaro vimekuwa mfano wa kuigwa halafu wahaya na Kagera yao wamedumaa unabaki kujiuliza shida iko wapi?
Unaona unavyodhihirisha kwamba hao wahaya siyo level zenu na ndiyo sababu umesema washindani wao ni wachaga. Sasa wewe maamuma usiyefahamika kwenu ni wapi unaanza kujilinganisha nao. Utakuwa mshindani na kujilinganisha na mtu asiye mbele wala nyuma? Mmekosa hoja mnabaki kueneza chuki za ukabila kama ilivyo kwenu

Kutaja kwako wahaya na wachaga tayari umedhihirisha kwamba hao watu si wa level zenu. Kabila lako lina nini cha kujifunza zaidi ya kufunga misuli na kuanika pum.....bu nje
 
Upo sahihi 100%! Kuna jamaa humu anawatetea wahaya wenzake! Ila kwa tulioishi kule tunajua tabia zao! Wana tabia mbovu sana ambazo makabila wengine hawana!

Kuna jamaa zangu kipindi hicho wameenda kununua Samaki kuna beach moja inaitwa Kiroyera kwa chini hivi huwa Jioni jion kuna samaki (sato, Sangara) kaenda jamaa yangu kununua Sato alipigwa bei kubwa baadae wakiwa wanaangalia pengine kaja muhaya mwenzao wakampa kwa bei Pungufu ali mind sana.

Kule hata kiwanja ukiwa wewe ni mgeni huwezi pata kiwanja wana umwinyi sana.
Kwani ulilazimishwa kuishi kwao au ni kujipendekeza kwako? Tanzania ni kubwa sana ukiona sehemu haikufai unaenda sehemu nyingine. Kilichokushinda kuyafanya kwenu uliyotaka kuyafanya huko ni nini? Ujinga wako ndiyo unakufanya ushinde hapa kujadili makabila badala ya kuwaza namna kuijenga familia yako. Ungekuwa na akili usingeshinda hapa kujadili makabila na siku ukitaka mjadala wa makabila uanze na kabila lako wewe mwenyewe.
 
Kuhusu swala uongozi, has nothing to do with wahaya, hapo Kagera, kila kitu ni ccm,
Kuhusu wewe kushindwa kufanya biashara, hujasema ulikuwa unafsnya biashara gani,
Kuna mangi mmoja, mzee lyakulwa, amekuwa Mfanyabiashara mkubwa, wa Bia, kwa miaka zaidi ya 40! Nimesoma na watoto wake, mtoto mmoja, ni, diwani! Hapo Kagera! Na, sio muhaya!
Kuhusu kukosa nyumba, bro ulikuwa unatsfuta nyumba wapi! Mi nimefsnya kazi, huo mkoa, kipindi Telecom industry ipo juu, kuanzia karagwe, hata hapo bk mjini, nyumba zipo kibao, nyamkazi, kilimahewa, nk,
Kuhusu elimu, kama tafiti zako, umeangslia shule za kata, Hilo ni janga la kitaifa, not Kagera peke yake,angalia matokeo ya hovyo ya shule za, Dodoma,
Ukienda, Songwe,Masasi, Tabora, Lindi, umaskini ni ule ule,
Fika eneo linaitwa, Kanyigo, kuna shule moja private ya kisasa, Sana, hizo, zipo nyingi!
Kuhusu kubsguliwa kikabila, umewahi, kufsnya kazi Mafinga!kufungua biashara mafinga,kati kati ya wenyeji!
Kwa, ufupi, unachokieleza mapungufu ya kielimu, makazi, ni vitu vipo Nchi nzima, sio Kagera tu,
Tatizo kwetu Watz tunapenda sana kukremisha bila kuchambua, mfano : mhaya ni mjuaji na mkabila, mchaga ni mwizi; we are so much addictif to « hear say » than facts! Shame on us!
 
Nimewahi kukaa siku 2 tatu Bukoba na Muleba, sikuwa mtu wa kuchangamana nao, lakini nimesoma nao, ni wabinafsi sana, ukiazima hata kitabu anakwambia anakitumia lakini muda huo huo akija mhaya/mnyambo mwenzie anampatia.

Kuna ndugu yangu pia alisoma Nyakato, wanafunzi wasio wenyeji wa mkoa ule walikuwa wanapitia kipindi kigumu sana.
Personnal sioni ubaya. Inaitwa ustaarabu. Kama alikudai kitabu chake halafu wengine hakudai, ujue tu mna makuzi tofauti , in short alikua hao wengine watarudisha kitabu bila makelele na usumbufu.
 
Kwa mara ya kwanza nafika nilifurahia mazingira mazuri, ukijani mwingi na Hali ya hewa tulivu kabisaaa ikiambatana na mvua hasa nyakati za asubuhi. Baadhi ya Maeneo yana muonekano mzuri wa ziwa hivyo kufanya Mkoa huu kuwa kuwa na view nzuri hasa Kwa wageni.

Kwa kuwa ni mzee wa Fursa Cha kwanza nilichokiona ni UWAZI mkubwa maeneo nikajipa moyo kwamba ardhi ni sehemu ya kwanza ya kuwekeza kama ntabahatika kukaa Kwa muda mrefu.

LAauhala...... Siku mbili tu naanza kupata majuto makubwa na kuchukia Mkoa na watu wake. Twende Wote.

PICHA LINAANZA kutafuta nyumba ya kupanga nyumba zote nazopekekwa ni local vibaya mnooooo zenye ahueni bei haieleweki na ni chache vibaya sanaaa kimsingi kama una hela njoo wekeza kwenye majengo (ila sikushauri ntakwambia kwanini)

BIASHARA ndo kizungumkuti Ile costumer care tulioizoea Kagera (Bukoba) haipo hapa mchoma mahindi anaringa hata Moo hagusi. hakuna karibu hakuna ahsante, kauli nzuri Kwa mteja huku ni ndoto za mchana.

Mbaya zaidi wageni wote walojaribu kufanya BIASHARA wameshindwa kutokana na ukabila ulokubuhu wakija wataongea kihaya usijpojibu kesho usitegee atarudi... ukimuweka MUHAYA watachunguza kujua mwenye BIASHARA wakijua umeumia.

ARDHI.

Eneo kubwa lipo wazi likiwa na migomba hapa naongelea km 5-10 kutoka mjini katikati ila gusa unase kiwanja cha 20*20 Wahaya wanataka million 8 ukibahatisha utakutana na 5 MILIONI nunua kiwanja DODOMA ila sio hapa, hii inasababisha wageni kutonunua ardhi na wengi kununua mikoa ya Mwanza na Geita.. wahaya wanaachwa na ardhi Yao ikiwa na migomba na majivuno Wasijue miaka kadhaa ijayo huenda ikawa Mkoa duni kuliko popote TANZANIA.

UKUAJI WA MJI.

Kwa ujumla Ukuaji wa MJI naupa 5% hakuna ujenzi mpya kabisaa tofauti na ukiingia mikoa kama Mwanza, Geita, Dodoma, ambapo ukipita Kwa mara ya kwanza Tena barabarani tu unavutiwa na majengo mapya mazuri. tofali ya nchi.5 inauzwa 1500 huku bei ya cement ikiwa 24,000. KATORO GEITA na CHATO ambazo ni jirani kabisa tofali inauzwa 1000-1200 mfuko cement ukiwa inauzwa 24,000 pia. anzisha kiwanda sasa [emoji23] uuze 1200 wakuue.

MAISHA

Nimeshangaa ndizi za Bukoba kuuzwa 3 Kwa 1000 Kwa Baadhi ya Maeneo ya Bukoba MJINI ilihali Dar tunanunua mpaka 6 Kwa 1000. hapa hakuna soko la wakulima AMBAPO utapata vitu Kwa bei RAHISI nyanya tunapima Kwa kilo sio kama kwetu fungu Hadi la 300 lipo..

Maisha ni ya kati sio ghali sana Wala sio RAHISI sanaaa. mzunguko wa pesa ni mdogo Sanaa sanaaaa Kwa kifupi Pesa ni ngumu hapa Bukoba. usafiri ni boda Kwa kiasi kikubwa bajaji ni chache sanaaaa hivyo ukija ujipange kidogo. maeneo ya starehe YAPO kuanzia fukwe za ziwa Victoria, club yetu pendwa (RIO), bunena (my best) nk

MAJUNGU

Sijawahi kuishi sehemu kama hiii narudia SIJAWAHI, Kufuatiliana maisha huku ndo nyumbani, MAKUNDI ya WhatsApp ya MAENDELEO ya Mkoa yamejaa MAJUNGU, kusemana, unafki, ukabila na ubinafsi uliokithiri Kuna kamtu kanaitwa KIMODOI ndo Kigogo wao huku[emoji23][emoji23][emoji23] ndo kanaendesha Mkoa kakisema Kila mtu Hadi Mkuu wa Mkoa anatetemeka kajamaa kanaishi MAREKANI so wadau ndo wanakaabudu kinoma kana MAJUNGU, kanafki, MAKUNDI badala ya kujadili Maendeleo kutwa kucha ni kusema watu voice note kama 1000 zote za MAJUNGU tu sasa usiombe Wahaya wakuchukie [emoji23][emoji23] ebwanaaa eeeeee kama ni mtumishi maisha Yako yatakua ya shidaaa Kwa kifupi BUKOBA ni ya Wahaya Wageni wote hakuna anaetamani kuwepo hili eneo.

SIASA

[emoji23][emoji23] oya wakuu kama unataka kugomebea hata uenyekiti wa MTAA Na si mzawa huku sio kwako... mikutano ya hadhara ni ya kihaya wegeni tunaduwaa tu... Majungu na Kukwamisha Maendeleo Ili kumfelisha kiongozi Fulani ndo siasa za Kagera (BUKOBA)... mbunge wao BYABATO chamoto anakipata aseee jamaa miradi haetekelezeki Kwa sababu ya CHUKI na uBINAFSI...

Kiongozi mstaafu Yuko tayari kukwamisha mradi ila aliepo asifanikiwe. NI AIBU MAKUNDI yaliyopo Kagera hasa. BUKOBA niaibuuuuu viongozi WA Mkoa wakiongozwa FATMA MWASSA, mbunge NEEMA LUGANGIRA Ndo kabisaaaaa UKISIKIA VITA KISIASA NA FITNA NJOO BUKOBA na sijui CHADEMA Mnafeli wapi.

UTENDAJI WA VIONGOZI

Hapa naongelea Ngazi ya Mkoa mpaka Watendaji wa kijiji.. NGAZI ya Mkoa hakuna kitu Mama MWASSA anajua KUJINUFAISHA tu kupitia wafanyabiashara Kuandaa na kuhudhuria matamasha ya hovyo tu akiambatana na Chawa wake (Kuna naskia kijamaa kinaitwa Mtu Mfupi na KIGOGO wao Kimodoi natamani sana kuwaona hawa)... Mkuu wa Wilaya SIMA na WAKURUGENZI wake ndo kabisaaa miradi ya serikali inajiendeaaa tu Hakuna HATUA zozote zinazochukuliwa Kwa wazembe... ila nashindwa kuwalaumu mana Wahaya wenyewe ni sehemu ya kukwamisha Maendeleo Yao binafsi.

ELIMU

Kizazi Cha Prof TIBAIJUKA kikiisha Kagera itahitaji msaada wa serikali kuinuka Tena. ELIMU hapa ni duni mnoooo mnoooo... majivuno mengiiii ila uhalisia ni sifuri.

HITIMISHO.

Kagera (Bukoba,) sio ya wageni ni Moja ya sehemu za hovyo kuwahi kwenda nimeishi Tabora, Dodoma, Arusha, Tanga, Pwani, Moro, Dar, Mwanza, Shinyanga, Geita, Kilimanjaro na maeneo mengine nimepita ila huu MJI [emoji119] hakuna mgeni anaetamani kuwepo hapa UKABILA, MAJUNGU, FITNA, UBINAFSI NA CHUKI vinawaangamiza Wahaya kimya kimya...

Huu ni Mkoa mkongwe sana ilaa MIAKA kadhaaa utakua Mkoa duni kuliko maelezo. BUKOBA ni MANISPAA inayodumazwa na tabia za Wenyeji na ni swala la muda hata Geita ilopewa MANISPAA juzi itaipiku ukiachilia mbali KAHAMA na MANISPAA zingine. inahitajika mabadiliko makubwa sana ya kifikra kuwakomboa Wahaya na Mkoa wao. mabadiliko haya yanahitajika pia kiutawala.

Mwisho RIO DE JENEIRO ni club nzuri mnoo na inapendezesha na kuchangamsha mji ila haiondoi ukweli kwamba sheria zimekiukwa.

WAHAYA SAMAHANINI ILA NI MUUKUBALI UKWELI AU MBAKI NA UKABILA WENU mi naondoka NIMEPACHOKA. KITUO KIFUATACHO BAADA YA MUDA MREFU NARUDI GEITA IKIWA MANISPAA
yaani umeongea ukweli mtupu.
nilipelekwaga bukoba mwaka 2012 kudeal na jambo flani la kiofisi kwa miezi 3, ila niliyoyaona nilichoka, ikabidi nisolve very faster niondoke before 3 month aisee.

wahaya wanajikuta jamaniii, afu for nothing, kujifanya wanajua kumbe mazero brain kabisa. Ukabila sasaaa wooi
majungu maofisini na kukwamishana ndo penyewe, ili mradi asie kabila lao asiwazidi, hata ue boss wao utajuta, nilikua nashinda na viatu whole day nilipoenda somewhere bunazi,kyaka huko for 1 week, nikaona watu wanavokoma kwa funza, kuna mafunza kule jamani.

ila ukitoa kizazi cha kina prof Tibaijuka ambacho kinaenda kuisha waliobaki ni upuuzi mtupu
 
Hii mentality ni ya hovyo sana na ukiingia na hyo mahali popote ambapo ni ugenini lazima utapachukia kwa sababu we unataka watu waishi km ulivozoea kwenu, km ni mtu mwenye akili safi inatakiwa ujue jinsi ya kuishi na watu tofauti tofauti ndio maana huko bk kuna watu ni wageni wameacha mikoa yao wameenda kutajirikia huko na wameweka kambi huko maisha yao.Tatizo mkienda mikoa ya watu mnapenda kujifanya wajuaji sasa hicho kwa mhaya lazima utamchukia tu , mi nimeishi bukoba muda mrefu lkn nakwambia maduka ya wageni hasa wachaga, wasukuma yanauza sana kuliko hata ya wazawa. Na hayo mambo uliyoandika yapo sehem nyingi ambako hakuna mchanganyiko mkubwa watu nenda Kigoma, Dodoma kule ndani kwa warangi na wagogo, nenda moshi uone utakavotritiwa we mgeni.
bwana wee, is not about mentality, ni reality tu. kila sehemu kuna watu tofauti na pia wageni, na aliyoongea mtoa mada sio kwamba wahaya wote wako hivo, ila % kubwa wako kama alivoeleza mtoa mada
 
Eti mwalimu mkoani. Kilaza wewe na acha kujionesha ulivyo mbumbumbu Hao watu ukienda na tabia zako mbovumbovu za kulewa wakati unapaswa kufundisha watoto lazima watakushughulikia. Eti wenyeji hawataki kurudi kufanya kazi kwao, aya twambie wewe kwenu ni wapi ili tukusaidie uhamie huko chap.

Badala ya kufanya kazi iliyokupeleka unabaki kutafuta sababu ya eti wenyeji hawataki kurudi kufanya kazi kwao. Kilaza mkubwa wewe, upo huru kufanya kazi sehemu yoyote Tanzania hii hivyo usitake kila mmoja afanane na wewe na ndiyo maana hao watu wanawaona hamnazo hasa nyie watoto mchele mchele
wewe ni muhaya, jirekebisheni
 
Sema huna hela kilaza wewe kwa maana mwenye hela zake anajua wapi pa kulala na huwezi ona anakuja hapa kuandika kwamba nawaza pa kulala.

Hivi mpaka sasa bado unasimama na takwimu za NBS ambayo wakusanya takwimu wao ni wale tulioonyeshwa kwamba walikuwa wanajaza takwimu wanazozijua wao kwenye madodoso waliyopewa wakiwa vyumbani mwao wakati wanafanya utafiti wa matumizi ya kaya binafsi?

Kwanza unajiita Econometrician ikimaanisha una uelewa wa uchumi na takwimu sasa twambie kutokana na takwimu hizo za NBS ni variables zipi zilitumika kujustify hilo. Takwimu ni takwimu tu lakini kuzichambua na kuzielewa ni kitu kingine kabisa na hapo ndipo unakutana na hizo mambo za sijui NBS imesema, n.k.

Mwaka jana nilishiriki kwenye kisemina fulani cha utoaji wa matokeo ya sensa na matumizi yake kwa baadhi ya maeneo ambayo walikuwa wametoa matokeo.

Ni kwamba hata watumishi wa NBS wenyewe hawaelewi hizo data wanazotolea matokeo zina maana gani na zinatumikaje kwa sababu wawasilisha taarifa yapo maswali waliulizwa lakini wakashindwa na wakaishia kutwambia takwimu zipo hivyo kama zilivyo hivyo tusihoji sana.

Kuna tafiti za matumizi ya kaya binafsi ambayo yanaonyesha watu wa mkoa X wanatumia pesa kununua kila hitaji la nyumbani kutoka dukani na watu wa mkoa Y wanapata mahitaji yao shambani moja kwa moja kwa asilimia 90 na 10 ni kutoka dukani. Ukiwaangalia hawa matumizi yao ya pesa ni tofauti kabisa lakini matokeo ya NBS yanakwambia wapo kwenye kapu moja na kwamba anayepata mahitaji yake kutoka dukani kwa asilimia 10 tu ni maskini wa kipato ukilinganisha na anayepata mahitaji yake kutoka dukani kwa asilimia 100 bila kutwambia spendings zao kwenye maeneo mengine zikoje kutokana na savings wanazozifanya
unajitetea sana nshomile, chonkaa bhojo
 
Mkuu merckme nimejaribu kupitia majibu Yako Kwa Kila alieandika kwenye huu uzi na muandiko wako unasema mengi na ya Ziada kuliko maandishi Yako. Nikupongeze Kwa Kila herufi Yako iliyodhihirisha niliyoyaandika...... JIREKEBISHENI au Bakini na Ujinga wenu
muhaya huyo achana nae
 
Uchambuzi gani huu? Nijiuavyo, Kagera si Bukoba wala si ya wahaya. Kwani wapo wahangaza, wanyambo, wasukuma na makabila mengine. Tatizo lako ni kutumia muda mwingi kutaka kila kitu kiwe kama unavyotaka. Kwa wanaojua ubunifu, unapokuta sehemu fulani inakosa kitu au vitu, hizo ndizo fursa na siyo lawama.
Jengeni mji wenu acheni kujitutumua mjini
 
Kwani ulilazimishwa kuishi kwao au ni kujipendekeza kwako? Tanzania ni kubwa sana ukiona sehemu haikufai unaenda sehemu nyingine. Kilichokushinda kuyafanya kwenu uliyotaka kuyafanya huko ni nini? Ujinga wako ndiyo unakufanya ushinde hapa kujadili makabila badala ya kuwaza namna kuijenga familia yako. Ungekuwa na akili usingeshinda hapa kujadili makabila na siku ukitaka mjadala wa makabila uanze na kabila lako wewe mwenyewe.
maspota "Iwe bhojo mshaija taina magezi"
 
Kipindi naishi Bk club yangu ilikuwa Linaz na ile club iliyopo lile ghorofa la Rwabizi
Pia

Kipindi nakaribia kuhama kuna ile club karibu na crdb bank nimesahau jina

Bar yangu ilikuwa Q Bar, kuna bar moja iko hamghembe barabarani hivi nimesahau jina,baadaye nikahamia ile motel ipo pale daraja la kwenda hamghembe na pale karibu kulikuwa na ofisi za Friends bus

Nimeishi Hamghembe na Migera

Nilikuwa na rafiki wa kihaya ambaye pia alikuwa anamiliki barbershop kubwa tu hapo mjini bukoba na ndiye alikua mwenyeji wangu

Nimefanya biashara kwa zaidi ya miaka minne so naifahamu bukoba vizuri

Nimeishi bukoba zaidi ya miaka mitano

Uchawi Bk na Kagera kwa ujumla upo sana tu
Wivu kwa wageni ni mkubwa sana

Nimebahatika kuishi Rukwa, Songwe, Mbeya, Iringa, Morogoro, Dar es salaam, Mwanza ,Arusha na Kagera kwa wilaya ya bukoba

Ukweli mtupu umeongelewa 100%
Ila bar karibu na CRDB pale ilitoka kwenye kale kagorofa(night club) pale juu..palikua panaitwa OKSIJEN/Oxygen kama sikosei,! Na ile motel karibu na lile daraja la kwenda hamgembe kwa tajiri mmoja anaitwa Muganyizi...sema jina ndo nimesahau ile bar...

Nimeishi Kibeta Na kumalizia kule Kashura...!

Nakumbuka nilikua nikitoka zangu kashura nakamata njia ya kwenda Maruku nafika kule Kabuhora beach kutembea na kuchukua samaki..

NB; Bukoba nilichopendea ni ule ukijani aiseeh, mvua mvua kimtindo, sato, sangara basi nilikua nikikaa kiroyera beach pale kuna madogo pale wanakutengenezea samaki Sato fresh wa foil wanamuwekea maza zaga unakula na ugali pale fresh huku ukiangalia ziwa victoria na kula upepo na ule ukijani..!

Nimezunguka BK kule Kanyigo, Kaisho, karagwe, kyerwa, bunazi, muleba, biharamulo, kyaka, mutukula .e.tc
 
Kwa mara ya kwanza nafika nilifurahia mazingira mazuri, ukijani mwingi na Hali ya hewa tulivu kabisaaa ikiambatana na mvua hasa nyakati za asubuhi. Baadhi ya Maeneo yana muonekano mzuri wa ziwa hivyo kufanya Mkoa huu kuwa kuwa na view nzuri hasa Kwa wageni.

Kwa kuwa ni mzee wa Fursa Cha kwanza nilichokiona ni UWAZI mkubwa maeneo nikajipa moyo kwamba ardhi ni sehemu ya kwanza ya kuwekeza kama ntabahatika kukaa Kwa muda mrefu.

LAauhala...... Siku mbili tu naanza kupata majuto makubwa na kuchukia Mkoa na watu wake. Twende Wote.

PICHA LINAANZA kutafuta nyumba ya kupanga nyumba zote nazopekekwa ni local vibaya mnooooo zenye ahueni bei haieleweki na ni chache vibaya sanaaa kimsingi kama una hela njoo wekeza kwenye majengo (ila sikushauri ntakwambia kwanini)

BIASHARA ndo kizungumkuti Ile costumer care tulioizoea Kagera (Bukoba) haipo hapa mchoma mahindi anaringa hata Moo hagusi. hakuna karibu hakuna ahsante, kauli nzuri Kwa mteja huku ni ndoto za mchana.

Mbaya zaidi wageni wote walojaribu kufanya BIASHARA wameshindwa kutokana na ukabila ulokubuhu wakija wataongea kihaya usijpojibu kesho usitegee atarudi... ukimuweka MUHAYA watachunguza kujua mwenye BIASHARA wakijua umeumia.

ARDHI.

Eneo kubwa lipo wazi likiwa na migomba hapa naongelea km 5-10 kutoka mjini katikati ila gusa unase kiwanja cha 20*20 Wahaya wanataka million 8 ukibahatisha utakutana na 5 MILIONI nunua kiwanja DODOMA ila sio hapa, hii inasababisha wageni kutonunua ardhi na wengi kununua mikoa ya Mwanza na Geita.. wahaya wanaachwa na ardhi Yao ikiwa na migomba na majivuno Wasijue miaka kadhaa ijayo huenda ikawa Mkoa duni kuliko popote TANZANIA.

UKUAJI WA MJI.

Kwa ujumla Ukuaji wa MJI naupa 5% hakuna ujenzi mpya kabisaa tofauti na ukiingia mikoa kama Mwanza, Geita, Dodoma, ambapo ukipita Kwa mara ya kwanza Tena barabarani tu unavutiwa na majengo mapya mazuri. tofali ya nchi.5 inauzwa 1500 huku bei ya cement ikiwa 24,000. KATORO GEITA na CHATO ambazo ni jirani kabisa tofali inauzwa 1000-1200 mfuko cement ukiwa inauzwa 24,000 pia. anzisha kiwanda sasa 😂 uuze 1200 wakuue.

MAISHA

Nimeshangaa ndizi za Bukoba kuuzwa 3 Kwa 1000 Kwa Baadhi ya Maeneo ya Bukoba MJINI ilihali Dar tunanunua mpaka 6 Kwa 1000. hapa hakuna soko la wakulima AMBAPO utapata vitu Kwa bei RAHISI nyanya tunapima Kwa kilo sio kama kwetu fungu Hadi la 300 lipo..

Maisha ni ya kati sio ghali sana Wala sio RAHISI sanaaa. mzunguko wa pesa ni mdogo Sanaa sanaaaa Kwa kifupi Pesa ni ngumu hapa Bukoba. usafiri ni boda Kwa kiasi kikubwa bajaji ni chache sanaaaa hivyo ukija ujipange kidogo. maeneo ya starehe YAPO kuanzia fukwe za ziwa Victoria, club yetu pendwa (RIO), bunena (my best) nk

MAJUNGU

Sijawahi kuishi sehemu kama hiii narudia SIJAWAHI, Kufuatiliana maisha huku ndo nyumbani, MAKUNDI ya WhatsApp ya MAENDELEO ya Mkoa yamejaa MAJUNGU, kusemana, unafki, ukabila na ubinafsi uliokithiri Kuna kamtu kanaitwa KIMODOI ndo Kigogo wao huku😂😂😂 ndo kanaendesha Mkoa kakisema Kila mtu Hadi Mkuu wa Mkoa anatetemeka kajamaa kanaishi MAREKANI so wadau ndo wanakaabudu kinoma kana MAJUNGU, kanafki, MAKUNDI badala ya kujadili Maendeleo kutwa kucha ni kusema watu voice note kama 1000 zote za MAJUNGU tu sasa usiombe Wahaya wakuchukie 😂😂 ebwanaaa eeeeee kama ni mtumishi maisha Yako yatakua ya shidaaa Kwa kifupi BUKOBA ni ya Wahaya Wageni wote hakuna anaetamani kuwepo hili eneo.

SIASA

😂😂 oya wakuu kama unataka kugomebea hata uenyekiti wa MTAA Na si mzawa huku sio kwako... mikutano ya hadhara ni ya kihaya wegeni tunaduwaa tu... Majungu na Kukwamisha Maendeleo Ili kumfelisha kiongozi Fulani ndo siasa za Kagera (BUKOBA)... mbunge wao BYABATO chamoto anakipata aseee jamaa miradi haetekelezeki Kwa sababu ya CHUKI na uBINAFSI...

Kiongozi mstaafu Yuko tayari kukwamisha mradi ila aliepo asifanikiwe. NI AIBU MAKUNDI yaliyopo Kagera hasa. BUKOBA niaibuuuuu viongozi WA Mkoa wakiongozwa FATMA MWASSA, mbunge NEEMA LUGANGIRA Ndo kabisaaaaa UKISIKIA VITA KISIASA NA FITNA NJOO BUKOBA na sijui CHADEMA Mnafeli wapi.

UTENDAJI WA VIONGOZI

Hapa naongelea Ngazi ya Mkoa mpaka Watendaji wa kijiji.. NGAZI ya Mkoa hakuna kitu Mama MWASSA anajua KUJINUFAISHA tu kupitia wafanyabiashara Kuandaa na kuhudhuria matamasha ya hovyo tu akiambatana na Chawa wake (Kuna naskia kijamaa kinaitwa Mtu Mfupi na KIGOGO wao Kimodoi natamani sana kuwaona hawa)... Mkuu wa Wilaya SIMA na WAKURUGENZI wake ndo kabisaaa miradi ya serikali inajiendeaaa tu Hakuna HATUA zozote zinazochukuliwa Kwa wazembe... ila nashindwa kuwalaumu mana Wahaya wenyewe ni sehemu ya kukwamisha Maendeleo Yao binafsi.

ELIMU

Kizazi Cha Prof TIBAIJUKA kikiisha Kagera itahitaji msaada wa serikali kuinuka Tena. ELIMU hapa ni duni mnoooo mnoooo... majivuno mengiiii ila uhalisia ni sifuri.

HITIMISHO.

Kagera (Bukoba,) sio ya wageni ni Moja ya sehemu za hovyo kuwahi kwenda nimeishi Tabora, Dodoma, Arusha, Tanga, Pwani, Moro, Dar, Mwanza, Shinyanga, Geita, Kilimanjaro na maeneo mengine nimepita ila huu MJI 🙌 hakuna mgeni anaetamani kuwepo hapa UKABILA, MAJUNGU, FITNA, UBINAFSI NA CHUKI vinawaangamiza Wahaya kimya kimya...

Huu ni Mkoa mkongwe sana ilaa MIAKA kadhaaa utakua Mkoa duni kuliko maelezo. BUKOBA ni MANISPAA inayodumazwa na tabia za Wenyeji na ni swala la muda hata Geita ilopewa MANISPAA juzi itaipiku ukiachilia mbali KAHAMA na MANISPAA zingine. inahitajika mabadiliko makubwa sana ya kifikra kuwakomboa Wahaya na Mkoa wao. mabadiliko haya yanahitajika pia kiutawala.

Mwisho RIO DE JENEIRO ni club nzuri mnoo na inapendezesha na kuchangamsha mji ila haiondoi ukweli kwamba sheria zimekiukwa.

WAHAYA SAMAHANINI ILA NI MUUKUBALI UKWELI AU MBAKI NA UKABILA WENU mi naondoka NIMEPACHOKA. KITUO KIFUATACHO BAADA YA MUDA MREFU NARUDI GEITA IKIWA MANISPAA
Kitu umefanikiwa katika huu uzi ni kuonesha kuwafahamu vema watanzania ambao ndio walengwa wako. Kwamba ukipangilia maneno yako vizuri wanakubaliana na wewe hata pasipo ushahidi wa kutosha wa kutetea hoja zako.

Sasa ndugu nikuulize, huko Bukoba hakuna jema?

Ni mkoa gani hakuna ubaya?

Yaani mkoa upi una wema tu na hauna ubaya wowote, bali ubaya ulijikusanya ukashamiri mkoa wa Kagera tu!!?

Suala la kujengeka mji wa Bukoba, uliambiwa ni wahaya tu ndio maafisa katika ofisi zote za manispaa ya Bukoba?! Kwamba maamuzi ya kiutendaji ambayo yanapaswa kuubadili mji ni ya wahaya tu? Hakuna makabila mengine kwenye ofisi hizo za manispaa au mkoani?

Je ni mji gani haswaa umejengeka katika nchi hii? Kwa akili yako Dar imejengeka? Yaani akija mgeni kutoka nje kisha akarudi kwao ataseme Dar ni jiji la kisasa? Huoni kwamba ndiyo sasa miundo mbinu yake haswa barabara ndio zinaboreshwa? Kama Dar mji wenye hadhi ya kitaifa uko hivyo sembuse Bukoba!?

Hujui kuwa mji mpya ni rahisi kujengeka kirahisi na kwa mpangilio mzuri kuliko miji mikongwe?! Kulinganisha Bukoba na miji inayochipukia ni kutokuelewa mambo.

Hivi ni kwa nini watu wanawapinga wahaya kuzungumza kihaya, si ni lugha yao!! Na kwa nini wewe huzingumzi lugha yako!? Unaionea aibu kisha unawaponda wanaojivunia lugha yao ya asili? Kweli!?

Kwa nini wageni wakija Tanzania wanakuta tunajivunia kiswahili? Je mzungu au mchina akikuta tunazungumza kiswahili mahali fulani huwa tunaendelea kutumia lugha yetu hii au inatubidi kubadili na kuzungumza kiingereza ili tuendane nao hata kama tunayoyazungumza hayawahusu...!! Why kihaya tu ndio kinawakera!?

Maswali ni mengi kuliko majibu! Why always wahaya...?

Mlaturugao norunwanwa...!
 
Ukiwa mgeni kama umefungua biashara hawaji kununua kwako na kama una bidhaa flani na haipo kwa wenyeji basi wataongea kirugha ili ikajumuliwe bidhaa na mwenyeji ili wajiungishe wao
Mkuu hiyo ni sehemu yoyote ambayo hakuna wageni utakuta hiyo tabia. Mfano ukienda Zanzibar ukifungua mfano Biashara sehemu ambazo hakuna Watanganyika Wazanzibar hawaji kununua na wata hakikisha wanaitupia majini ili ife, Bora uko Bara kuliko mikoa ya Pwani wao hawataki kabisa kuona mgeni unafanya jambo la maendeleo.
 
Back
Top Bottom