Kagera (Bukoba) mahali pa ovyo kuwahi kutembelea

Umeongea ukweli mtupu
Nilikaa bukoba sehemu kadhaa buhembe, bugashani, kashenye, mugeza na nshamba kuanzia 2016 hadi 2018 bukoba kulinishinda aisee
 
ukifika kule wenyewe wanachapa kihaya tu hawajali kama wewe ni mgeni wao yamkini utajisikia vibaya.Wahaya shemeji zangu ila kwajinsi mlivyo na mambo ya hovyo nimechukia wahaya wote hadi dada yenu,sitokubali wanangu warithi ukabila,tabia za hovyo..n.kπŸ˜‚

Watu gani nyie kuvunja undugu kwenu ni jambo la kawaida tu.πŸ™Œ
 
Nlikuwa Nina miaka tisa nilipopelekwa Bukoba kutoka Dodoma, baada ya kufika nikapelekwa shule ya msingi Moja hivi, guys living in Bukoba ilipelekea nikawa traumatized. Watoto shule walikuwa wananisema kwamba Mimi najidai Kwa sababu najifanya najua kiswahili. Every kid at school alinichukia bila sababu. Kwenye Ile shule Mimi ndo nilikuwa nimetokea mikoa mingine wengine walikuwa wazawa wa pale. I was bullied, na hata nyumbani watoto walinimanipulate. Waliniambia ninaringa. Kuishi kule kulinirudisha nyuma kiakili.

Hadi Leo najaribu kuirudisha confidence yangu iliyopotea but kule Bukoba ni Kwa kishetani naweza kusema. Hata watu wa kule hawana akili kwanza.

Nina ndugu kule they sound stupid, ni ngumu kufanya nao kitu kikaenda vizuri.

Sitokaa niende Kwa namna yeyote Ile. Kule ni Kwa mashetani. Ni mashetani ndo yanaishi Bukoba. Wanajionaga wenyewe ndiyo watu alafu wengine siyo watu. Wako depressed and wako toxic. Si watu wa kukaa nao karibu kabisa.

Kamji kao kale hakaendelei , mipango miji wamelala Kwa kweli. Mji unarudi nyuma badala ya kusogea mbele. Wanaishi in 1980's. Wakati mikoa mingine ipo 2025. Hawanukii watu wa kule , wananukia nyanyachungu tu. They are the weirdest people I have ever seen. Hawana Nuru. Magufuli aliutelekeza ule mji.
 
Ni vema umenena wewe, Bukoba kuko very useless na hakufai kuishi kwa mtu yeyote mpenda maendeleo na ndiyo maana wanawake wao wako hapa mjini wakijiuza tu kukimbia majungu ya kwao.
 
Nasikia hawaoni haibu kuvunja undugu ili wakulane wenyewe kwa wenyewe, ni kweli?
 
Njoo ujaribu mkuu zipo Fursa nyingi mno Kwa logic Yako hiyo utatoka hapa Bilionea.
Kila BIASHARA unaijua Iko open hapa na Ina gape kubwa sanaaa Kwa kuanzia njoo fungua Juice Point. Pita Kwa comment itakusaidia kujua namaanisha Nini hapa.

Nikusaidie tu ukifika sehemu kijiwe Cha kahawa chote watu zaidi ya 20 wanaongea kiluga na mpo 21 Kwa lisaa limoja bila kiswahili paogope sana... Inabidi uondoke kichwa chini af ukitoka tu wanaanza kiswahiliπŸ˜‚
 
Mkuu mbona hasira Kali kiasi hikiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ umetoa ya moyoni.
 
Iwe Iwe bojoooo
 
Ni Watani zangu Wakubwa sana ila ulichokiandika ni Ukweli mtupu tena wa 100% na unayoyaona hapo Kagera (Bukoba) ndiyo yako hapa nchini Uganda na kwa hiki ulichokiandika ndiyo nathibitisha rasmi kuwa Wahaya ni Waganda kwa 100% pengine ndiyo maana hata Nduli Idi Amin Dada alikuwa anasema Kagera (Bukoba) ni sehemu ya nchi ya Uganda.
 
Kuhusu swala uongozi, has nothing to do with wahaya, hapo Kagera, kila kitu ni ccm,
Kuhusu wewe kushindwa kufanya biashara, hujasema ulikuwa unafsnya biashara gani,
Kuna mangi mmoja, mzee lyakulwa, amekuwa Mfanyabiashara mkubwa, wa Bia, kwa miaka zaidi ya 40! Nimesoma na watoto wake, mtoto mmoja, ni, diwani! Hapo Kagera! Na, sio muhaya!
Kuhusu kukosa nyumba, bro ulikuwa unatsfuta nyumba wapi! Mi nimefsnya kazi, huo mkoa, kipindi Telecom industry ipo juu, kuanzia karagwe, hata hapo bk mjini, nyumba zipo kibao, nyamkazi, kilimahewa, nk,
Kuhusu elimu, kama tafiti zako, umeangslia shule za kata, Hilo ni janga la kitaifa, not Kagera peke yake,angalia matokeo ya hovyo ya shule za, Dodoma,
Ukienda, Songwe,Masasi, Tabora, Lindi, umaskini ni ule ule,
Fika eneo linaitwa, Kanyigo, kuna shule moja private ya kisasa, Sana, hizo, zipo nyingi!
Kuhusu kubsguliwa kikabila, umewahi, kufsnya kazi Mafinga!kufungua biashara mafinga,kati kati ya wenyeji!
Kwa, ufupi, unachokieleza mapungufu ya kielimu, makazi, ni vitu vipo Nchi nzima, sio Kagera tu,
 
Pitia pia majibu ya watu humu utajifunza kitu
 
Tatizo la ukabila ni kubwa sana Mkoani Kagera (Bukoba). Hii ni kansa mbaya sana ambayo Watu wa huko hawataweza kupona
 
Ila Wahaya mmezidi ukabila na shobo zingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…