yassird200
JF-Expert Member
- Jan 2, 2025
- 466
- 813
Nakumbuka hapo nisehemu yangu yakwanza kutafta. Kimaisha siopazuri ila ukiwa na plan nzuri nirahisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo kweli wengi choka tu mkuu. Hizo mbwembwe na za wale wenye fedha ila hata mhaya awe na fedha kidogo utadhani ni Mo kwa matambo hayo.Kwa kina Nyerere wa jf.
Nimefurahi sana kuwajua zaidi hawa wakwe zangu watarajiwa.
Ukimposa dada wa kihaya wazazi wanataka barua ya posa iwe na muhuli wa mwanasheria,barua ya mwenyekiti wa mtaa,bank statement,ushaenda ulaya mara ngapi.Alafu usubiri posa yako ijadiliwe na wanandugu wanasheria.🤣😅
Ila kuna vitu kaviongelea zaidi ya lugha..na wengi wamedhibitisha hivyo..so inabidi watu wa huko wajifunzeHuyu jamaa kakaa wiki tu ndio amekuja na conclusion hizi.
Tatizo kuna watu wengi wanaingia kagera na expectations zao lakini pia na mentality ya huku napokwenda watu wanaringa, wanajiskia na ni wabaguzi. Ila ukikaa nao fresh mbona wahaya hawana shida na pia wanakirimu zaidi wageni.
Nilikaa mkoa wa njombe, watu walikuwa wanaongea lugha yao na ubaguzi wa wageni kwenye kufanya biashara ni mkubwa. Na hayo mambo ya mauaji na vitu vingine negative Ila mimi binafsi nilikaa nao vizuri sana na walinikirimu vizuri sana sanaaa maana maparachichi na mikate yao ya kikinga nilikula sanaaa..
Kwa hiyo ningekuwa na negative mindset ningefungua thread kuisema vibaya lakini experience yangu ya kuzunguka Tz hii imenifanya niwe mtu adaptable yani kuona jukumu la kufit in ni langu. Huwezi expect uende china utegemee wazungumze kiswahili au uende marekani wawe social kwako ili ujihisi vizuri.. Impossible
Nadhani watu wengi hususani wa Dar wana tatizo sana hili tofauti na "mikoani" ndio maana ukifuatilia thread za kupondea mikoa mingine utaona wengi ni wao kwa sababu wengi wamekosa exposure ya mkoani na wamezoea city life. Hili nimezoea Ila nikiona mtu katembea mikoani anakuja na worst conclusion huwa namshangaa kiasi
Sasa kuvimba ni sifa nzuri??Yeah ila ukiwa na akili ya kuwavimbia lazima uwaone wabaya , mhaya mpe nafasi avimbe na kutamba anavyotaka ndio utaona ukarimu wake .
Ni asili yao tu , majivuno kila mtu anayo sema wengi wanayaficha tu .Sasa kuvimba ni sifa nzuri??
Haya bana...Ni asili yao tu , majivuno kila mtu anayo sema wengi wanayaficha tu .
Mimi ni mhaya nimezaliwa Temeke lakini nimekulia bukoba nimesoma huko hdi form 4. Ukiwa ndani ya jamii huoni hizo dosari, ukitoka ukatafakari unagundua kuwa kuna shida.Ila kuna vitu kaviongelea zaidi ya lugha..na wengi wamedhibitisha hivyo..so inabidi watu wa huko wajifunze
Kyupi kikidondoka kubali kuchutamaUchambuzi gani huu? Nijiuavyo, Kagera si Bukoba wala si ya wahaya. Kwani wapo wahangaza, wanyambo, wasukuma na makabila mengine. Tatizo lako ni kutumia muda mwingi kutaka kila kitu kiwe kama unavyotaka. Kwa wanaojua ubunifu, unapokuta sehemu fulani inakosa kitu au vitu, hizo ndizo fursa na siyo lawama.
Majivuno ni asili yetu kabisa mkuu. Yani inatokea automatically hata kama huna ela. Unaweza kuwa unamiliki kuku ukampa sifa utadhani ni ng'ombe. Sijui iko ndani ya genes kama mchaga na biashara.Ni asili yao tu , majivuno kila mtu anayo sema wengi wanayaficha tu .
Kumbe mahaya yapo nyuma sana.Nlikuwa Nina miaka tisa nilipopelekwa Bukoba kutoka Dodoma, baada ya kufika nikapelekwa shule ya msingi Moja hivi, guys living in Bukoba ilipelekea nikawa traumatized. Watoto shule walikuwa wananisema kwamba Mimi najidai Kwa sababu najifanya najua kiswahili. Every kid at school alinichukia bila sababu. Kwenye Ile shule Mimi ndo nilikuwa nimetokea mikoa mingine wengine walikuwa wazawa wa pale. I was bullied, na hata nyumbani watoto walinimanipulate. Waliniambia ninaringa. Kuishi kule kulinirudisha nyuma kiakili.
Hadi Leo najaribu kuirudisha confidence yangu iliyopotea but kule Bukoba ni Kwa kishetani naweza kusema. Hata watu wa kule hawana akili kwanza.
Nina ndugu kule they sound stupid, ni ngumu kufanya nao kitu kikaenda vizuri.
Sitokaa niende Kwa namna yeyote Ile. Kule ni Kwa mashetani. Ni mashetani ndo yanaishi Bukoba. Wanajionaga wenyewe ndiyo watu alafu wengine siyo watu. Wako depressed and wako toxic. Si watu wa kukaa nao karibu kabisa.
Kamji kao kale hakaendelei , mipango miji wamelala Kwa kweli. Mji unarudi nyuma badala ya kusogea mbele. Wanaishi in 1980's. Wakati mikoa mingine ipo 2025. Hawanukii watu wa kule , wananukia nyanyachungu tu. They are the weirdest people I have ever seen. Hawana Nuru. Magufuli aliutelekeza ule mji.
Na mtu akawajua huwa anaishi vizuri sana na nyie 😁😁Majivuno ni asili yetu kabisa mkuu. Yani inatokea automatically hata kama huna ela. Unaweza kuwa unamiliki kuku ukampa sifa utadhani ni ng'ombe. Sijui iko ndani ya genes kama mchaga na biashara.
Kagera (Bukoba) siyo mji wa kujitafuta, hakuna fursa na ukiiona fursa utakwamishwa mpaka ukimbie mwenyewe! Kifupi wamechagua kudumaa.Kwa mara ya kwanza nafika nilifurahia mazingira mazuri, ukijani mwingi na Hali ya hewa tulivu kabisaaa ikiambatana na mvua hasa nyakati za asubuhi. Baadhi ya Maeneo yana muonekano mzuri wa ziwa hivyo kufanya Mkoa huu kuwa kuwa na view nzuri hasa Kwa wageni.
Kwa kuwa ni mzee wa Fursa Cha kwanza nilichokiona ni UWAZI mkubwa maeneo nikajipa moyo kwamba ardhi ni sehemu ya kwanza ya kuwekeza kama ntabahatika kukaa Kwa muda mrefu.
LAauhala...... Siku mbili tu naanza kupata majuto makubwa na kuchukia Mkoa na watu wake. Twende Wote.
PICHA LINAANZA kutafuta nyumba ya kupanga nyumba zote nazopekekwa ni local vibaya mnooooo zenye ahueni bei haieleweki na ni chache vibaya sanaaa kimsingi kama una hela njoo wekeza kwenye majengo (ila sikushauri ntakwambia kwanini)
BIASHARA ndo kizungumkuti Ile costumer care tulioizoea Kagera (Bukoba) haipo hapa mchoma mahindi anaringa hata Moo hagusi. hakuna karibu hakuna ahsante, kauli nzuri Kwa mteja huku ni ndoto za mchana.
Mbaya zaidi wageni wote walojaribu kufanya BIASHARA wameshindwa kutokana na ukabila ulokubuhu wakija wataongea kihaya usijpojibu kesho usitegee atarudi... ukimuweka MUHAYA watachunguza kujua mwenye BIASHARA wakijua umeumia.
ARDHI.
Eneo kubwa lipo wazi likiwa na migomba hapa naongelea km 5-10 kutoka mjini katikati ila gusa unase kiwanja cha 20*20 Wahaya wanataka million 8 ukibahatisha utakutana na 5 MILIONI nunua kiwanja DODOMA ila sio hapa, hii inasababisha wageni kutonunua ardhi na wengi kununua mikoa ya Mwanza na Geita.. wahaya wanaachwa na ardhi Yao ikiwa na migomba na majivuno Wasijue miaka kadhaa ijayo huenda ikawa Mkoa duni kuliko popote TANZANIA.
UKUAJI WA MJI.
Kwa ujumla Ukuaji wa MJI naupa 5% hakuna ujenzi mpya kabisaa tofauti na ukiingia mikoa kama Mwanza, Geita, Dodoma, ambapo ukipita Kwa mara ya kwanza Tena barabarani tu unavutiwa na majengo mapya mazuri. tofali ya nchi.5 inauzwa 1500 huku bei ya cement ikiwa 24,000. KATORO GEITA na CHATO ambazo ni jirani kabisa tofali inauzwa 1000-1200 mfuko cement ukiwa inauzwa 24,000 pia. anzisha kiwanda sasa [emoji23] uuze 1200 wakuue.
MAISHA
Nimeshangaa ndizi za Bukoba kuuzwa 3 Kwa 1000 Kwa Baadhi ya Maeneo ya Bukoba MJINI ilihali Dar tunanunua mpaka 6 Kwa 1000. hapa hakuna soko la wakulima AMBAPO utapata vitu Kwa bei RAHISI nyanya tunapima Kwa kilo sio kama kwetu fungu Hadi la 300 lipo..
Maisha ni ya kati sio ghali sana Wala sio RAHISI sanaaa. mzunguko wa pesa ni mdogo Sanaa sanaaaa Kwa kifupi Pesa ni ngumu hapa Bukoba. usafiri ni boda Kwa kiasi kikubwa bajaji ni chache sanaaaa hivyo ukija ujipange kidogo. maeneo ya starehe YAPO kuanzia fukwe za ziwa Victoria, club yetu pendwa (RIO), bunena (my best) nk
MAJUNGU
Sijawahi kuishi sehemu kama hiii narudia SIJAWAHI, Kufuatiliana maisha huku ndo nyumbani, MAKUNDI ya WhatsApp ya MAENDELEO ya Mkoa yamejaa MAJUNGU, kusemana, unafki, ukabila na ubinafsi uliokithiri Kuna kamtu kanaitwa KIMODOI ndo Kigogo wao huku[emoji23][emoji23][emoji23] ndo kanaendesha Mkoa kakisema Kila mtu Hadi Mkuu wa Mkoa anatetemeka kajamaa kanaishi MAREKANI so wadau ndo wanakaabudu kinoma kana MAJUNGU, kanafki, MAKUNDI badala ya kujadili Maendeleo kutwa kucha ni kusema watu voice note kama 1000 zote za MAJUNGU tu sasa usiombe Wahaya wakuchukie [emoji23][emoji23] ebwanaaa eeeeee kama ni mtumishi maisha Yako yatakua ya shidaaa Kwa kifupi BUKOBA ni ya Wahaya Wageni wote hakuna anaetamani kuwepo hili eneo.
SIASA
[emoji23][emoji23] oya wakuu kama unataka kugomebea hata uenyekiti wa MTAA Na si mzawa huku sio kwako... mikutano ya hadhara ni ya kihaya wegeni tunaduwaa tu... Majungu na Kukwamisha Maendeleo Ili kumfelisha kiongozi Fulani ndo siasa za Kagera (BUKOBA)... mbunge wao BYABATO chamoto anakipata aseee jamaa miradi haetekelezeki Kwa sababu ya CHUKI na uBINAFSI...
Kiongozi mstaafu Yuko tayari kukwamisha mradi ila aliepo asifanikiwe. NI AIBU MAKUNDI yaliyopo Kagera hasa. BUKOBA niaibuuuuu viongozi WA Mkoa wakiongozwa FATMA MWASSA, mbunge NEEMA LUGANGIRA Ndo kabisaaaaa UKISIKIA VITA KISIASA NA FITNA NJOO BUKOBA na sijui CHADEMA Mnafeli wapi.
UTENDAJI WA VIONGOZI
Hapa naongelea Ngazi ya Mkoa mpaka Watendaji wa kijiji.. NGAZI ya Mkoa hakuna kitu Mama MWASSA anajua KUJINUFAISHA tu kupitia wafanyabiashara Kuandaa na kuhudhuria matamasha ya hovyo tu akiambatana na Chawa wake (Kuna naskia kijamaa kinaitwa Mtu Mfupi na KIGOGO wao Kimodoi natamani sana kuwaona hawa)... Mkuu wa Wilaya SIMA na WAKURUGENZI wake ndo kabisaaa miradi ya serikali inajiendeaaa tu Hakuna HATUA zozote zinazochukuliwa Kwa wazembe... ila nashindwa kuwalaumu mana Wahaya wenyewe ni sehemu ya kukwamisha Maendeleo Yao binafsi.
ELIMU
Kizazi Cha Prof TIBAIJUKA kikiisha Kagera itahitaji msaada wa serikali kuinuka Tena. ELIMU hapa ni duni mnoooo mnoooo... majivuno mengiiii ila uhalisia ni sifuri.
HITIMISHO.
Kagera (Bukoba,) sio ya wageni ni Moja ya sehemu za hovyo kuwahi kwenda nimeishi Tabora, Dodoma, Arusha, Tanga, Pwani, Moro, Dar, Mwanza, Shinyanga, Geita, Kilimanjaro na maeneo mengine nimepita ila huu MJI [emoji119] hakuna mgeni anaetamani kuwepo hapa UKABILA, MAJUNGU, FITNA, UBINAFSI NA CHUKI vinawaangamiza Wahaya kimya kimya...
Huu ni Mkoa mkongwe sana ilaa MIAKA kadhaaa utakua Mkoa duni kuliko maelezo. BUKOBA ni MANISPAA inayodumazwa na tabia za Wenyeji na ni swala la muda hata Geita ilopewa MANISPAA juzi itaipiku ukiachilia mbali KAHAMA na MANISPAA zingine. inahitajika mabadiliko makubwa sana ya kifikra kuwakomboa Wahaya na Mkoa wao. mabadiliko haya yanahitajika pia kiutawala.
Mwisho RIO DE JENEIRO ni club nzuri mnoo na inapendezesha na kuchangamsha mji ila haiondoi ukweli kwamba sheria zimekiukwa.
WAHAYA SAMAHANINI ILA NI MUUKUBALI UKWELI AU MBAKI NA UKABILA WENU mi naondoka NIMEPACHOKA. KITUO KIFUATACHO BAADA YA MUDA MREFU NARUDI GEITA IKIWA MANISPAA
Umeniacha njia panda wakwetu 😁Haya bana...
Iweee muganyizi
Shida ni kutujua tu. Ukishatuelewa mbona sisi watu poa sana kabisa. Kama hujamfahamu mhaya atakuwa anakukera kila wakati. Wewe unaweza fikiria kuwa anajisifu kumbe mwenzio anaongea kawaida hapo hajaanza kujisifu maana akianza utazimia.Na mtu akawajua huwa anaishi vizuri sana na nyie 😁😁
Ni kweli kabisa na si kwamba wanakwamisha wageni tu hata wao kwa wao wanakwamishana. Kuna siasa na majungu mengi.Kagera (Bukoba) siyo mji wa kujitafuta, hakuna fursa na ukiiona fursa utakwamishwa mpaka ukimbie mwenyewe! Kifupi wamechagua kudumaa.
Mkuu nilikua na mengi ya kuandika kuhusu BukobaHichi kiswahili chako hakijakaa vyema mkuu. Japo umeeleweka.
1- Something triggered an already underlying trauma (inborn/ancestral).Nlikuwa Nina miaka tisa nilipopelekwa Bukoba kutoka Dodoma, baada ya kufika nikapelekwa shule ya msingi Moja hivi, guys 1)living in Bukoba ilipelekea nikawa traumatized. Watoto shule walikuwa wananisema kwamba Mimi najidai Kwa sababu najifanya najua kiswahili.2) Every kid at school alinichukia bila sababu. Kwenye Ile shule Mimi ndo nilikuwa nimetokea mikoa mingine wengine walikuwa wazawa wa pale. I was bullied, na hata nyumbani watoto walinimanipulate. Waliniambia ninaringa. Kuishi kule kulinirudisha nyuma kiakili.
3)Hadi Leo najaribu kuirudisha confidence yangu iliyopotea but kule Bukoba ni Kwa kishetani naweza kusema. 4)Hata watu wa kule hawana akili kwanza.
5)Nina ndugu kule they sound stupid, ni ngumu kufanya nao kitu kikaenda vizuri.
Sitokaa niende Kwa namna yeyote Ile. Kule ni Kwa mashetani.6) Ni mashetani ndo yanaishi Bukoba. 7)Wanajionaga wenyewe ndiyo watu alafu wengine siyo watu.8) Wako depressed and wako toxic.9) Si watu wa kukaa nao karibu kabisa.
10)(a)Kamji kao kale hakaendelei ,10)(b) mipango miji wamelala Kwa kweli. Mji unarudi nyuma badala ya kusogea mbele. 11)Wanaishi in 1980's. Wakati mikoa mingine ipo 2025. 12)(a)Hawanukii watu wa kule , 12(b)wananukia nyanyachungu tu. 13)They are the weirdest people I have ever seen. Hawana Nuru.14) Magufuli aliutelekeza ule mji.