Kagera (Bukoba) mahali pa ovyo kuwahi kutembelea

Nimewahi kukaa siku 2 tatu Bukoba na Muleba, sikuwa mtu wa kuchangamana nao, lakini nimesoma nao, ni wabinafsi sana, ukiazima hata kitabu anakwambia anakitumia lakini muda huo huo akija mhaya/mnyambo mwenzie anampatia.

Kuna ndugu yangu pia alisoma Nyakato, wanafunzi wasio wenyeji wa mkoa ule walikuwa wanapitia kipindi kigumu sana.
 
Kagera haiendelei iko vile vile miaka rudi miaka nenda. Mji umepangiliwa vibaya majumba yale yale yani hovyo hovyo tu.
Kuhusu watu kushindwa biashara sio kweli maana wachaga wamejaa tele ndiyo wenye mabaa na mapub na wenye biashara kubwa za kuuza pombe kama deport za bia.
Kuhusu nyumba, yes Bukoba mjini kuna nyumba za kupanga mbaya mbaya na nyumba nzuri chache kwa sababu wenye kujenga nyumba nzuri hawazipangishi wanajenga tu kwa sifa hata kama hawakai.
Kuhusu ardhi, sidhani kama ardhi ni gharama kama unavyosema. Hapo 5-10 km kutoka bukoba mjini lazima ardhi iwe ghali maana wenye nayo bado wanajiona wako mjini wakiwa wanahisi mji utapanuka pila ukienda vijijini huko mfano sehemu kama izimbwa, ibwera ardhi bei rahisi. Huko wasukuma wamewanunua wazawa karibu kunageuka kuwa usukumani na wazawa wamegeuzwa wafanya kazi kwenye mashamba waliowauzia wasukuma.
Huko utapata mashamba ya laki mbili ardhi ni plenty. Wasukuma wanalima mpunga huko.
Kuhusu customer care, hujakosea wahaya hawana customer care ni kama vile anayeuza ndiye boss unayenunua kijakazi.
Lugha, yes wahaya wanazungumza sana kihaya hadi ofisini, lakini sishangai hata wasukuma wako hivyo hivyo. Kuna kipindi nilishi kahama, ni kisukuma kwa kwenda mbele hata mtu hajafahamu kama wewe ni msukuma anaanza kukuongelesha kisukuma akigundua kuwa wewe si msukuma na switch na kuongea kiswahili. Kwangu haikuwa big deal.
Pia Kagera kuna mzunguko mdogo wa pesa. Halafu wahaya ukiondoa kilimo cha kuchanganya mazao shambani sijui kutokana na kulima migomba hawajaweza kufanya kilimo cha maana kama watu wa mbeya na Iringa. Nadhani hao wasukuma wa huko nilikokutajia watawafundisha kazi.
Hiyo customer care mbovu si kwamba wanafanyiwa wageni ndivyo walivyo anafanyiwa kila mtu ila wazawa wao wanaona kawaida tu maana wahaya na maringo hata kama hana kitu ni sawa na mzaramo na dera
 
Nilikaa karagwe zaidi ya miezi sita niliona ni watu poa mno ,hasa ukijua kuchangamana na watu , mda mwingne hata vyakula kama maharage ndizi nilipewa bure kabisa tena kwa upendo wa hali ya juu na majirani.
 
Nilitoka mkoa mwingine nikahamishiwa dodoma nikiwa shule ya msingi na nilipata the same treatment, nilibaguliwa haswaaa kwa kuonekana najidai kwa sababu nilitokea kwenye mji mkubwa kuliko Dodoma, na siku zote wangenicheka accent yangu hadi walimu waliniita mjinga natakiwa nirudishwe darasa mbele za wanafunzi wenzangu. Kiufupi nilikuwa broken vibaya mnoo na Ilinichukua zaidi ya miezi 6 na nikaishi nao na kurudi kwenye round ya best students hapo ndo nikapona kiasi

Nimetoka dodoma nikaingia mkoa flani, huko issue ilikuwa the worst, na sio tu kwa kunyanyapaliwa, mkoa ule wa kusini ni walozi hadi mtoto wa form one anakushauri muende kwa mganga kwa sababu daftari uliloibiwa linaenda kuchawiwa. Unaingia kwenye paper unaona karatasi nyeupeee peee na machozi yanatoka tuu hadi nikashuka sana paper ya form two lakini home hawakunishangaa kwa sababu walikuwa wanajua ni nini nilikuwa napitia maana nilikonda sanaaa.

Siwezi kuongelea mengi zaidi kwa sababu ni rahisi kujulikana Ila jua tu nimeishi mikoa mingi ambayo inatawaliwa na wenyeji including Kagera. Issue ya lugha ni kawaida maana bukoba hata ukienda makanisani wanatumia kihaya na kila pahali na tena bora leo hii kuliko zamani.

Kwa hiyo ukiingia miji midogo kwa mentality ya wao wanatakiwa kubadili system ya maisha yao ili wakuaccomodate wewe badala ya wewe kuwa adaptable. Utakosea kwa sababu ni same scenerio dunia nzima kwenye issue ya wageni vs wenyeji,


ulichokipitia nakielewa lakini usijifiche katika hiyo trauma mkuu, move on kwa sababu nilipitia mazito zaidi ya hayo lakini SIJAWAHI kuwaita watu mashetani au kulaumu shortcomings zangu. Take full responsibility of your life mkuu ili uweze kurudisha total control kwako.. Heal mkuu
 
Nilikaa karagwe zaidi ya miezi sita niliona ni watu poa mno ,hasa ukijua kuchangamana na watu , mda mwingne hata vyakula kama maharage ndizi nilipewa bure kabisa tena kwa upendo wa hali ya juu na majirani.
Huyu jamaa kakaa wiki tu ndio amekuja na conclusion hizi.

Tatizo kuna watu wengi wanaingia kagera na expectations zao lakini pia na mentality ya huku napokwenda watu wanaringa, wanajiskia na ni wabaguzi. Ila ukikaa nao fresh mbona wahaya hawana shida na pia wanakirimu zaidi wageni.

Nilikaa mkoa wa njombe, watu walikuwa wanaongea lugha yao na ubaguzi wa wageni kwenye kufanya biashara ni mkubwa. Na hayo mambo ya mauaji na vitu vingine negative Ila mimi binafsi nilikaa nao vizuri sana na walinikirimu vizuri sana sanaaa maana maparachichi na mikate yao ya kikinga nilikula sanaaa..
Kwa hiyo ningekuwa na negative mindset ningefungua thread kuisema vibaya lakini experience yangu ya kuzunguka Tz hii imenifanya niwe mtu adaptable yani kuona jukumu la kufit in ni langu. Huwezi expect uende china utegemee wazungumze kiswahili au uende marekani wawe social kwako ili ujihisi vizuri.. Impossible

Nadhani watu wengi hususani wa Dar wana tatizo sana hili tofauti na "mikoani" ndio maana ukifuatilia thread za kupondea mikoa mingine utaona wengi ni wao kwa sababu wengi wamekosa exposure ya mkoani na wamezoea city life. Hili nimezoea Ila nikiona mtu katembea mikoani anakuja na worst conclusion huwa namshangaa kiasi
 
Ila wewe bwana 😂😂
 
Umeishi Njombe eneo gani ulikutana na hizi ishu?
 
Wahaya kiasili ni jamii ya watu ambao ni vigumu sana kuwaelezea, ni watu ambao wana kasumba ya kutetemekea mwenye nacho lkn kama huna anakuona tu kama takataka hata kama yeye ni mchovu zaidi yako.

Machinga wa kihaya anaweza akakuponda kwamba "una nini wewe" kisa hujanunua bidhaa yake, yaani ni jamii ya watu wa hovyo ni kakuna mfano.

Nenda ofisi yoyote ambapo kuna mhaya eti una shida na unategemea yeye ndiye akuhudumie, yaani afadhali uende kwa mamba mwenye njaa anaweza labda akala mguu wako akakuachia kiwiliwili chote.

Wahaya wasikie tu kwa mbali hivyo uchambuzi wako ni ukweli kwa asilimia asiyo na idadi.

Bravo for a very good assessment of this primitive and backward community.

NB: The only good haya is the dead one.

NB: Mhaya mzuri ni yule aliyekufa tu.
 
Kwenye kuongea kilugha mikoa mingi Tz nimekuta hivyo ila kwengine wanakua fasta kutumia kiswahili wakijua kuna asiyejua lugha yao.

Mikoa ambayo wataongea kilugha hata baada ya kujua mwengine hajui ni Mbeya (Wanyakyusa) na Manyara (WaIraqw) kwa mikoa niliyopita.

Manyara haswa Mbulu ni Wilaya Kongwe Tz kuliko zote lakini ni miongoni mwa wilaya zenye mapato ya chini.
 
Yeah ila ukiwa na akili ya kuwavimbia lazima uwaone wabaya , mhaya mpe nafasi avimbe na kutamba anavyotaka ndio utaona ukarimu wake .
 
Wakuu umesema kweli kabisa. Isingekuwa ni uwepo wa jamaa zangu akina Massawe Pale TanPoint Lounge mimi ningeondoa familia yangu Bukoba immeditely

TanPoint ndio sehemu murua sana ya kula bata na mchanganyiko ni watu wasio wenyeji ni mkubwa

Niliteseka sana kupata nyumba ila baadaye nikapata nyumba nzuri eneo la muinuko linaitwa Nshambia japo bei ni ghali. Unaweza kujaribu hapo pia

Angalau kinachonifurahisha ni kwamba nimepata shule nzuri kwa ajili ya watoto na huduma ni nzuri

Kuhusu changamoto ulizotaja hapo juu napata moyo kwq sababu angalau TAMISEMI na uongozi wa mkoa unapiga kampeni za wqzi kubadilisha mindset ya hawa wahaya wazawa wqnaoishi hapa Bukoba. Nikiri kabisa kwamba kuishi na hawa wqtu ni changamoto sana!

Nasema tena kwamba isingekuaepo TanPoint Lounge ya kina Massawe mimi ningeshaondoa familia yangu hapa
 
MAJUNGU

Sijawahi kuishi sehemu kama hiii narudia SIJAWAHI, Kufuatiliana maisha huku ndo nyumbani,
Hili la majungu ndugu yangu lipo karibia mikoa yote yenye wazawa wengi na wageni wachache. Huko mara nyingi cycle ya watu waliofanikiwa kimaendeleo ni ndogo kwahiyo na wewe ukija unakuwa mmoja wa hao madon wa hapo. nyinyi mnakuwa ndo talk of the town na kila mmoja atajitahidi kujinasibisha nanyi au mmoja kati yenu. meengi yatazungumzwa juu yenu na wengine wataenda mbali zaidi hata kuwahusianisha na ufreemason uchawi na mambo mengine kama hayo. unachohitaji ni kutoonesha unajali hayo yote kwa kufocus kwenye mambo yako. nje ya hapo lazma utoke nje ya reli.
 
Dah pole maskini..hasa hapo ukiwa mdogo vipi wazazi hukuwaambia kuwa shule unafanyiwa hivyo?
 
Unalolisema ni kweli...
WAhaya wana majungu si kwa wageni tu baina yao wenyewe. Ule mji umeshindwa kuendelea kwa sababu hata wabunge wakija na project, wenyewe kwa wenyewe kwenye halmashauri wanapigana majumu ili wamkwamishe ili mradi uchaguzi ujao aonekane hajaleta maendeleo ashindwe. Kuanzia enzi na enzi. Mama tibaijuka japo hakuwa mbunge wa bukoba mjini alikuwa na project nzuri kwa ajili ya bukoba mjini akiwa waziri wa ardhi, lakini wakaiferisha, same to hamis kagasheki na soko na sasa hivi steven byabato.
Yani bukoba itakuja kuwa replaced na Karagwe kwa akina bashunga na ndiyo maana wanyambo wanakasirika sana kuitwa wahaya.
Bukoba inapaswa kubadilika maana kwa sasa hata kusema wahaya wamesoma si kweli imebaki historia.
Bukoba wanapaswa kujifunza kwa mikoa mingine kwanza mzunguko wa pesa mdogo na vijijini kuna umasikini wa kutisha sana.
 
Kwa kina Nyerere wa jf.
Nimefurahi sana kuwajua zaidi hawa wakwe zangu watarajiwa.

Ukimposa dada wa kihaya wazazi wanataka barua ya posa iwe na muhuli wa mwanasheria,barua ya mwenyekiti wa mtaa,bank statement,ushaenda ulaya mara ngapi.Alafu usubiri posa yako ijadiliwe na wanandugu wanasheria.🤣😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…