Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaona kupitia wapi??Naona Chalamila amewakusanya watu hapo uhuru Bukoba
Kuna Mhaya ambaye Kiingereza hakimpendi? 😳😳😳Kingereza hakikupendi.
Kunaagonjwa tanahitahi quick reaction. Hii sio malaria. Preliminary measure lazima zichuliwe immediately given ni contagious desease.Siitetei wizara ya afya lakini nachojua ....wizara/ serikali ipo macho kuliko unavyofikiria.
Naimani wahusika wapo kazini wanalishughulikia Chief ,tuwe wapole tusubiri taarifa rasmi.
Wilaya gani ya Kagera?Mama yangu kanifahamisha kuhusu kifo cha nesi anayefahamiana naye. Amekufa kwa dalili za EBOLA. Inasemekana alimhudumia mwenye dalili hizo. Inasemekana kuna watu kama 4 weshafariki with the same symptoms. Wizara ya Afya mpo slow sana kukabiliana na emergency. By now ilibidi kuwepo na taarifa rasmi kuhusu hali hii.
Umeibuka around Maruku, Bukoba Vijijini au Muleba paleWilaya gani ya Kagera?
Nilikuwa huko juzi naona hakuna kesi kama hizoMama yangu kanifahamisha kuhusu kifo cha nesi anayefahamiana naye. Amekufa kwa dalili za EBOLA. Inasemekana alimhudumia mwenye dalili hizo. Inasemekana kuna watu kama 4 weshafariki with the same symptoms. Wizara ya Afya mpo slow sana kukabiliana na emergency. By now ilibidi kuwepo na taarifa rasmi kuhusu hali hii.
Ulutegemea kupata taarifa wapiNilikuwa huko juzi naona hakuna kesi kama hizo
USSR
Ameandika utopoloKuna Mhaya ambaye Kiingereza hakimpendi? 😳😳😳
Nayanga bojo!
Wapunguze kwenda UvinzaDaaah poleni Bukoba.... Bukoba ndio majanga mengi huanzia na yanakuwaga balaa kishenzi.