Kagera kuna hali ya hatari, kumezuka ugonjwa wa kutokwa damu puani na mdomoni. Watu 5 wafariki dunia 2 wako hospitali. Serikali ichukue hatua haraka

Nilikuwa huko juzi naona hakuna kesi kama hizo

USSR
Hivi wewe kuwa Kagera juzi ndo uwe na uhakika kuwa hakuna ugonjwa? Inamaana unajua idadi ya watu waliokufa na walikufa kwa ugonjwa gani? Taarifa kama hii inapotolewa usiwe mwepesi kubisha
 
Hii ni kwa mujibu wa Wizara ya Afya

D7E77BD3-42F7-4072-B6F3-620B40AA3D5B.jpeg
 
Hizo dalili ni kama za ebola. Waweke karantini haraka sana. Shida yetu, tunapenda sana kufichaficha mambo. Wangesema wazi kuwa kuna wagonjwa mkoani Kagera wameonesha dalili za ugonjwa wa ebola, uchunguzi unaendelea, lakini kwa sasa maeneo hayo yamewekwa karantini, hakuna anayeruhusiwa kuingia wala kutoka.
 
Nani kasema yamewekwa karantini?
 
Back
Top Bottom