Hivi wewe kuwa Kagera juzi ndo uwe na uhakika kuwa hakuna ugonjwa? Inamaana unajua idadi ya watu waliokufa na walikufa kwa ugonjwa gani? Taarifa kama hii inapotolewa usiwe mwepesi kubishaNilikuwa huko juzi naona hakuna kesi kama hizo
USSR
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi wewe kuwa Kagera juzi ndo uwe na uhakika kuwa hakuna ugonjwa? Inamaana unajua idadi ya watu waliokufa na walikufa kwa ugonjwa gani? Taarifa kama hii inapotolewa usiwe mwepesi kubishaNilikuwa huko juzi naona hakuna kesi kama hizo
USSR
Ile dawa yetu ya Madagaska bado ipo hatukuitumia itatufaa kuliko hizo za wazungu.Taarifa haijawa rasmi lakini hali iko hivi, huko katika Kata ya Kanyangereko, Wilayani Bukoba Vijijini, kwa marehemu Benjamini...
Mungu akusameheMkoa wa bukoba unalaana
Hii ni hatari
Hakuna mkoa wa Bukoba. We ndo una laanaMkoa wa bukoba unalaana
Nani kasema yamewekwa karantini?Hizo dalili ni kama za ebola. Waweke karantini haraka sana. Shida yetu, tunapenda sana kufichaficha mambo. Wangesema wazi kuwa kuna wagonjwa mkoani Kagera wameonesha dalili za ugonjwa wa ebola, uchunguzi unaendelea, lakini kwa sasa maeneo hayo yamewekwa karantini, hakuna anayeruhusiwa kuingia wala kutoka.
Huu mzigo ni Ebola aisee.......