Kagera kuna hali ya hatari, kumezuka ugonjwa wa kutokwa damu puani na mdomoni. Watu 5 wafariki dunia 2 wako hospitali. Serikali ichukue hatua haraka

Mama yangu kanifahamisha kuhusu kifo cha nesi anayefahamiana naye. Amekufa kwa dalili za EBOLA. Inasemekana alimhudumia mwenye dalili hizo. Inasemekana kuna watu kama 4 weshafariki with the same symptoms. Wizara ya Afya mpo slow sana kukabiliana na emergency. By now ilibidi kuwepo na taarifa rasmi kuhusu hali hii.
 
Siitetei wizara ya afya lakini nachojua ....wizara/ serikali ipo macho kuliko unavyofikiria.

Naimani wahusika wapo kazini wanalishughulikia Chief ,tuwe wapole tusubiri taarifa rasmi.
 
Siitetei wizara ya afya lakini nachojua ....wizara/ serikali ipo macho kuliko unavyofikiria.
Naimani wahusika wapo kazini wanalishughulikia Chief ,tuwe wapole tusubiri taarifa rasmi.
Kunaagonjwa tanahitahi quick reaction. Hii sio malaria. Preliminary measure lazima zichuliwe immediately given ni contagious desease.

Mifumo yetu ya maandalizi kitaaluma mibovu sana. Unashughulikia when there is emergence. The same kama ajali ya ndege. We're very slow in reacting to crisis
 
Wilaya gani ya Kagera?
 
Ambavyo sipendi kabisa kuanzisha nyuzi nilitaka kuanzisha uzi ila nikasubiri kuna mtu atauleta tu. Taarifa nilizonazo inasemekana kuna watu saba wamefariki na wanne ni wa familia moja, aliyefariki leo kazikwa na serikali (sina uhakika na taarifa hizi).

Chanzo changu cha taarifa kinakadiria dalili za ugonjwa zitakuwa zimeanza around wiki iliyopita. Huyo nesi unayesema bado kuna daktari aliyeambukizwa. Ningeweza kuchukua taarifa zaidi ila sikuwa interested baada ya kujulishwa serikali inafahamu hilo. Tatizo haitoi tahadhari na response sio kubwa wala ya haraka.

Ugonjwa utasambaa hasa kwa meli na si ajabu within a week tukasikia taarifa Mwanza. Tahadhari ichukuliwe
 
Nilikuwa huko juzi naona hakuna kesi kama hizo

USSR
 
Wilaya ipj hiyo maana mkoa wa Kagera mkubwa
 
Hii taarifa iwafikie wizara ya afya haraka iwezekanavyo, huu ugonjwa unasafiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…