Kagera kuna hali ya hatari, kumezuka ugonjwa wa kutokwa damu puani na mdomoni. Watu 5 wafariki dunia 2 wako hospitali. Serikali ichukue hatua haraka

Daah, Jamaa una akili ila umekuwa mjinga bila kukusudia. Hujui unachokisema.
This condescending chicanery is a flatfooted and futile arduous attempt at grotesquely and gratuitously gaslighting a proven pugilist who punches purposefully and wickedly way ahead and above your waning weight.
 
This condescending chicanery is a flatfooted and futile arduous attempt at grotesquely and gratuitously gaslighting a proven pugilist who punches purposefully and wickedly way ahead and above your waning weight.
EWE KIRANGA TUMIA AKILI YAKO VIZURI KWA FAIDA YA WATU NA SIO KWA KUANGAMIZA WATU.

TAFAKARI NA CHUKUA HATUA.
 
Mganga mkuu wa Serikali autangazia umma kuhusu ugonjwa usiojulikana ambao umegunduliwa huko mkoani Kagera
dalili za ugonjwa huo ni kutapika, kutokwa damu, figo kushindwa kufanya kazi na kuharisha

Mpaka sasa Watu 7 wameripotiwa kupatwa na ugonjwa huo na watano wamefariki
Serikali imeshachukua hatua kwa kupeleka Rapid Responce Team maeneo husika na kusogeza vifaa tiba vyote muhimu kwenye hospitali na vituo vya afya

Mganga Mkuu wa Serikali amewatoa hofu Wananchi kuwa serikali inalichukulia kwa uzito wa kipekee tatizo hili na uchunguzi wa sampuli kutoka kwa wagonjwa na marehemu zimechukuliwa kwa uchunguzi zaidi
Your browser is not able to display this video.
 
Watu wa Bukoba wanatakiwa kuwa karantin ili ugonjwa usisambae
Lakin kimya mpaka sasa
 
Watu wa Bukoba wanatakiwa kuwa karantin ili ugonjwa usisambae
Lakin kimya mpaka sasa
Imeshindikana kovid itakuwa kitu hakija tambulika?. Hi ni tz watu wa Mungu hatuna wasiwasi yatapita tu.
 
Hongera kwa mganga mkuu wa serikali kutoa tahadhari haraka na kwa uwazi, ili wananchi wawe salama kwa kujikinga na pia kutoa ripoti wakibaini dalili za gonjwa hilo linalofuatiliwa na mamlaka husika kulijua ni gonjwa lipi.
Muache ujinga wa kuwa mnajipendekeza kwa mambo ya kijinga,unamsifia kafanya nini hapo, kuna mahali mtu kauliza ili kuwa mganga mkuu wa serikali vigezo ni vipi?,huyu mama hajongea chochote cha msingi zaidi ya kusema ugonjwa husijulikana hajatoa mwongozo wowote.

Haya naomba kukuuliza wewe unaeshabikia ujinga watu wajikinge kwa staili gani wakati ugonjwa haujulikani?.

Viongozi waache tabia ya kuwa wanaficha ficha Mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…