BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
Mbona hawasemi tutangaze namba za wanaougua typhoid?Ukizitoa kinachofuata ni nini?
Haya majitu sijui huwa yanatumwa!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hawasemi tutangaze namba za wanaougua typhoid?Ukizitoa kinachofuata ni nini?
This condescending chicanery is a flatfooted and futile arduous attempt at grotesquely and gratuitously gaslighting a proven pugilist who punches purposefully and wickedly way ahead and above your waning weight.Daah, Jamaa una akili ila umekuwa mjinga bila kukusudia. Hujui unachokisema.
EWE KIRANGA TUMIA AKILI YAKO VIZURI KWA FAIDA YA WATU NA SIO KWA KUANGAMIZA WATU.This condescending chicanery is a flatfooted and futile arduous attempt at grotesquely and gratuitously gaslighting a proven pugilist who punches purposefully and wickedly way ahead and above your waning weight.
Is your keyboard stuck on all caps?EWE KIRANGA TUMIA AKILI YAKO VIZURI KWA FAIDA YA WATU NA SIO KWA KUANGAMIZA WATU.
TAFAKARI NA CHUKUA HATUA.
Atakuwa amezoea kusema people's power.Kingereza hakikupendi.
BAADAYE NITATOA MAELEZO.Is your keyboard stuck on all caps?
Eh MUNGU tusaidie
Sampuli zimechukuliwa, bado hawajathibitisha ni ebola au kitu gani kingineEbola
Umejuje?Ebola
Imeshindikana kovid itakuwa kitu hakija tambulika?. Hi ni tz watu wa Mungu hatuna wasiwasi yatapita tu.Watu wa Bukoba wanatakiwa kuwa karantin ili ugonjwa usisambae
Lakin kimya mpaka sasa
Sijajua badoUmejuje?
Muache ujinga wa kuwa mnajipendekeza kwa mambo ya kijinga,unamsifia kafanya nini hapo, kuna mahali mtu kauliza ili kuwa mganga mkuu wa serikali vigezo ni vipi?,huyu mama hajongea chochote cha msingi zaidi ya kusema ugonjwa husijulikana hajatoa mwongozo wowote.Hongera kwa mganga mkuu wa serikali kutoa tahadhari haraka na kwa uwazi, ili wananchi wawe salama kwa kujikinga na pia kutoa ripoti wakibaini dalili za gonjwa hilo linalofuatiliwa na mamlaka husika kulijua ni gonjwa lipi.
Vita bukoba ukimwi bukoba tetemeko bukoba sasa apo unabisha vipi kama hamna laanaWew laana unaijua ww...so mtu ukiumwa tu unalaana?
Eti mkoa wa bukoba....akili ndogo
Mtajua hamjuiHakuna mkoa wa Bukoba. We ndo una laana