Waufukweni JF-Expert Member Joined May 16, 2024 Posts 2,060 Reaction score 5,648 Nov 27, 2024 #1 Mbunge wa Viti Maalum (CCM) anaewakilisha Asasi za Kiraia Tanzania Bara Mheshimiwa Neema Lugangira amepiga kura kuamua Fyucha ya Kitaa kwenye kituo cha kupigia kura shule ya sekondari Kahororo Mtaa wa Rwome, Kata ya Kashai Bukoba Mjini.
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) anaewakilisha Asasi za Kiraia Tanzania Bara Mheshimiwa Neema Lugangira amepiga kura kuamua Fyucha ya Kitaa kwenye kituo cha kupigia kura shule ya sekondari Kahororo Mtaa wa Rwome, Kata ya Kashai Bukoba Mjini.
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Nov 27, 2024 #2 Wameshinda Kabla Ya Uchaguzi Wana BoX Zao Tele